uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    CHADEMA inakwenda kuvuna aibu mbele ya CCM uchaguzi ujao kwasabu haijapanda chochote kwenye mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu mtu huvuna alipopanda mbegu,alipopalilia na kuhudumia mmea. Mpaka Sasa Chadema Haijapanda chochote katika mioyo ya watanzania,Hata shamba haina Wala mikakati na mipango ya shamba haina, haina hata mpango wa kwenda shambani achilia mbali kukijari kilimo Cha kisiasa katika mioyo ya...
  2. Robert S Gulenga

    Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

    Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na...
  3. T

    Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

    SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA, KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania. Shaka ameyasema hayo leo...
  4. Abdalah Abdulrahman

    Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

    Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako, ukitaka kuwa na chama chenye ushawishi mkubwa na chenye uwezo wa kukamata dola ni lazima viongozi na...
  5. U

    Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  6. M

    Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
  7. M

    Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  8. M

    Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  9. S

    Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

    Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini. Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa...
  10. U

    Serikali hii ya Mpito itafika ukomo ukifanyika uchaguzi 2025

    Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito. Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais...
  11. J

    Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  12. Lord OSAGYEFO

    Tume ya Uchaguzi tangazeni kuanza kwa kampeni ili mwaka 2025 iwe ni kuchukua fomu tu

    Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi kuanza kwa kampeni kwani CCM tayari wameanza mapema kabisa. Suala la uchukuaji fomu ndio lifanyike...
  13. jitombashisho

    Uchaguzi 2025 itakuwa ni CCM na kivuli cha Hayati Magufuli

    Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga. Sasa,kwa...
  14. B

    Maandalizi ya uchaguzi 2025 yazingatie mikakati ya 2020 maana hakuna miujiza ya sisi wana CCM kupenya sanduku la kura

    Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama. Ni...
  15. technically

    CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

    Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo. 1: Acheni...
  16. J

    Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

    Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia. Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
  17. Mr Dudumizi

    Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

    Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
  18. J

    DC Jokate Mwegelo: Namuunga mkono Rais Samia 2025

    "NAMUUNGA MKONO MAMA 2025" "Ni kweli kabisa 2025 ni mwaka wa kumuweka Rais Mwanamke Ikulu, ni wakati sasa wa Wanawake wote kuungana na kutumia fursa hii kufanikisha hili na kuendelea kuandika historia Tanzania, naamini Wanaume pia watatuunga mkono maana nia ya Mama kulitumikia Taifa letu wote...
  19. Elitwege

    Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
  20. Mtoto wa Nyerere

    Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru. Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa. Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
Back
Top Bottom