uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu karibu CCM Upumzike

    Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa Huenda CCM...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii 2025

    Salaam, Shalom!! Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya. 1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa miaka 200 ijayo. Muumini wa mifumo Imara, mzalendo wa kiuchumi. 2. Rais atakayekuwa na msimamo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hiki hapa kinaweza kuing'oa CCM Ikulu 2025

    Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 - 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya kutangaza kuhamia ACT Wazalendo baada ya Bunge kuvunjwa. Mwananchi imefanya mahojiano maalumu na mbunge...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Uchaguzi ujao chagueni maendeleo, anayekufaa wakati wa dhiki ndiye rafiki

    "Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki zote, kula, kuvaa na yote, unakwenda kwa rafiki mwingine nje ya nyumba yako ambaye hakufai kitu au...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wabunge watishwa na matokeo ya TLS, wahofia majimboni watapendwa watetezi kama Mwabukusi

    Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS. Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni. Nimeogopa sana 🐼 Sabato Njema 😄...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

    Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri. Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao. Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini. Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi ameshinda, Je CHADEMA ya Mbowe itanufaika vipi kisiasa? Naona wanapiga mayowe kila kona

    Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos? Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa) Kwamba Lissu atashinda 2025? Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania. Soma=>...
  8. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Chagueni CCM kwani ndicho chenye ilani bora inayotekelezeka

    CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara Katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini amesema Chama cha Mapinduzi ndo kinatekeleza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA fanyeni mbinu zote mumnase Nape; ni msema kweli. Kaondolewa Uwaziri kwa kusema ukweli

    Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata. Mtakuja kunishukuru. Mbinu zote za ushindi anazijua
  10. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru na Oliva waungana kwenye mkutano wa hadhara

    Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba. Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita. Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilani ya CCM ya 2020-2025 ina viporo vingi, vimalizike kwanza kabla ya kuandaa ilani ya mwaka 2025- 2030

    Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu: 1. Ujenzi wa barabara: - Jiandae kwa utekelezaji wa mradi wa kujenga barabara ya lami kutoka Geita hadi Kahama kupitia...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Namuunga mkono Mbowe kushiriki chaguzi zijazo hata kama Serikali haitokuwa tayari suala la Katiba Mpya

    MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata kama Serikali haitakuwa tayari kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Akizungumza na MwanaHALISI Online...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dkt.Slaa: Mabadiliko ya Mawaziri, Serikali haijui inataka nini, kubadili viongozi kama Gauni haisaidii kitu

    Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi...
  14. Technologiest

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

    Salaam! Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki. Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Narudia tena Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu sana Usidanganyike na Siasa za 2030!

    Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK Wapinzani watapokea Wanaccm wengi watakaofeli kura za maoni kama ilivyokuwa 2015 Ahsanteni Sana 🐼 cc...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii haifai, Waziri wa OR Tamisemi anamkusanyia fedha Rais Samia ili agombee 2025 akiwa anafanya shughuli za kiserikali sio za kichama

    BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa...
  19. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napendekeza Uchaguzi wa mwaka 2025 kuwe na Mdahalo wa Wagombea Urais Tanzania

    Habairini za kazi ndugu Watanzania, Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa Wagombea wote wa Kiti cha Uraisi Tanzania. Pia ningependekeza mdahalo uwe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Simiyu ni mojawapo ya mikoa ya Tanzania, ulioko...
Back
Top Bottom