CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411

aaaaaa.jpeg

Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.

“Nimekuja kwa Wazee wangu nyumbani kwa Wazazi wangu mnipe baraka zenu na naamini jinsi nilivyoingia sio kama nitakavyotoka nikitoka moto utawaka, nimekuja kupata baraka zenu lakini naomba niwapigie magoti niwashukuru yaani nawashukuru mno, mniombee mnitie nguvu kazi hii huko nyuma walikuwa wanapewa akina Mama wazitowazito lakini safari hii nimepewa Mimi”“Niko tayari kusumbuliwa na kutumika Mimi ni Mtumishi wenu, tushikamane , tupendane , tuombeane kheri, mmenilea mmenitunza nimerudi kwenye ardhi ya Wazazi wangu”

“Naomba tumuunge mkono Rais Samia kwa heshima aliyotupa Wana Mbinga kuniteua Mimi Mtoto wenu, zawadi pekee ninayoomba na wala msinipatie Mimi hizi zawadi tumpatie Mh. Rais kura za kishindo kutoka Mbinga tukatae Watu wanaokuja kutudanganya nasikia wanapitapita Wazee wangu tusiruhusu hayo mambo”
 
Hata Chadema wangekuwa na uhakika nani anagombea 2025 wangeanza kumuombèa, mnaweza kumuombea Lissu sasa hivi mara ghafla akaunti ya Mbowe ya Cayman ikasoma paaap mgombea akawa Lowassa.
Mbeya anagombea Sugu huwa Chadema wanapiga kampeni indirect.
 
View attachment 2843509

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.

“Nimekuja kwa Wazee wangu nyumbani kwa Wazazi wangu mnipe baraka zenu na naamini jinsi nilivyoingia sio kama nitakavyotoka nikitoka moto utawaka, nimekuja kupata baraka zenu lakini naomba niwapigie magoti niwashukuru yaani nawashukuru mno, mniombee mnitie nguvu kazi hii huko nyuma walikuwa wanapewa akina Mama wazitowazito lakini safari hii nimepewa Mimi”“Niko tayari kusumbuliwa na kutumika Mimi ni Mtumishi wenu, tushikamane , tupendane , tuombeane kheri, mmenilea mmenitunza nimerudi kwenye ardhi ya Wazazi wangu”

“Naomba tumuunge mkono Rais Samia kwa heshima aliyotupa Wana Mbinga kuniteua Mimi Mtoto wenu, zawadi pekee ninayoomba na wala msinipatie Mimi hizi zawadi tumpatie Mh. Rais kura za kishindo kutoka Mbinga tukatae Watu wanaokuja kutudanganya nasikia wanapitapita Wazee wangu tusiruhusu hayo mambo”
AIBU KWA CHAMA TAWALA KUANZA KAMPENI KABLA YA MUDA KAMA MAMA ANAUPIGA MWINGI KWANINI KAMPENI ZA KUMUOMBEA KURA KWA WANANCHI ZIANZE KABLA YA MUDA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwegelo amewahi kuwa mkuu wa wilaya, hajui kwamba anachofanya ni kosa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi?

Hopeless kabisa.
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.
Wakishapata kura wanarudi na mikono viunoni
 
Back
Top Bottom