Aliyedaiwa kumbaka mwanamke wa miaka 58 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, Joseph Mathias amefutiwa hatia na kifungo hicho baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora kubaini hati ya mashitaka ilikuwa na kasoro.
Licha ya Mathias kutumikia kifungo cha miaka minane jela, aliachiwa huru jana...