TBT: Oktoba 2020 Ukituma meseji yenye Jina la Tundu Lissu ilikuwa haiendi

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,152
20,326
Tujikimbushe kidogo zahama zilizotukuta.

Sijui kilitokea kirusi gani kwenye jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni za Lala Salama ilikuwa ukituma ujumbe mfupi kwenye mitandao ya simu aina zote ujumbe ule ulikuwa haupelekwi hewani au haumfikii mlengwa.

Mathalani unachati na rafiki yako kwamba Tundu Lissu huenda asishinde Urais basi ujumbe huo haufiki unakopelekwa.

Dunia hii kuna watu wametuazima tu. Ni dunia ya kwao. Wanaweza kukustopisha hata Oxygen unayovuta na hakuna cha kuwafanya.
 
Ni kuzidiana mbinu tuu dunia hii si ya mjomba kwamba upate ukuu kirahisi rahisi tuu.

Cha kufanya next time waboreshe mbinu zote no matter what? Ila wakitilia huruma mambo yatakua ivyo ivyo miaka nenda rudi.
 
Aisee kazi kweli kweli
 
Ni kuzidiana mbinu tuu dunia hii si ya mjomba kwamba upate ukuu kirahisi rahisi tuu.

Cha kufanya next time waboreshe mbinu zote no matter what? Ila wakitilia huruma mambo yatakua ivyo ivyo miaka nenda rudi.
Hiyo kuboresha mbinu si ndio watu wanakuja kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa?
 
Hapana sio mfumo wa fujo ni akili inatumika.

Kiuhalisia lazima wanachunguliana ( kila mtu anajua siri za mwenzie za ndani).
Mmeshanyetishiwa kuna ma IT wako mzigoni kina washinda nini wao pia kua na ma IT wa hali ya juu kulinda hujuma zozote zitakazo jitokeza tena kwa wakati.
 
Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya.

Wapinzani wanatekwa wasirudishe form za kugombea ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo na hakuna chocote kinatokea. Sasa we unaongelea mambo ya IT kama huo wizi ni kupitia mitandaoni.
 
Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya. Wapinzani wanatekwa wasirudishe form za kugombea ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo na hakuna chocote kinatokea. Sasa we unaongelea mambo ya IT kama huo wizi ni kupitia mitandaoni.
Jikite kwenye uzi mkuu.....jina tundu lisu halikua likienda ukituma kwa mfumo wa sms( mitandao) ambao wahusika wakuu n ma IT.
Jibu lako linaitaji uzi mpya na majibu yake pia yapo.
 
Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya. Wapinzani wanatekwa wasirudishe form za kugombea ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo na hakuna chocote kinatokea. Sasa we unaongelea mambo ya IT kama huo wizi ni kupitia mitandaoni.
Ila Magu na genge lake khaa!! Hata mshipa wa aibu hakuna.
 
Wakazima na Data Mzee, leo wamelala hawana tena pumzi, wameliwa na funza!
Tutendeane kwa haki ndugu zangu.
 
Tunaalikwa na Injili ktk Biblia kuwa mambo ya dunia ni mambo ya kupita tu. Tusiwekeze sana tukasahau Maisha yetu ya Kiroho ambayo ndio lengo hasa la kuubwa kwetu
 
Back
Top Bottom