tundu lissu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

    Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule. Wengine wanakiita Simba. Wengine hawachoki kukifanyia fitna. Ama kwa hakika wengine kwetu huyu: Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu ana stress, cage haimfai.

    Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha, Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

    Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake. Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

    Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana. Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu. Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila...
  6. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana uhakika wa Kura Milioni 3 za wamasai wenye sifa za kupiga kura

    CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya. Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za...
  7. Lusungo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

    Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!! Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba. Simba ni...
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauri kuhusu kesi iliyofunguliwa Arusha

    https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Tundu Lissu afungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais

    Wakuu, joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba moto. Tundu Lissu amefungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais. Naona yupo tayari kukabiliana na Samia kwenye uchaguzi mkuu.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

    Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika, Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

    Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu akemea Wamasai wa Ngorongoro kudanganya

    Lissu amewakemea wamasai wa Ngorongoro kudanganya. Asema waache kutumika vibaya. Abainisha ukweli kuhusu manufaa ya kuhama Ngorongoro.
  13. Bromensa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

    Ndugu zangu watanzania, Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe. Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu asisahau 2010 walimzuia Zitto Kabwe kugombea Cheo cha Kiongozi wa Upinzani Bungeni wakidai hiyo ni Nafasi ya Mwenyekiti. Ule ni Udikteta

    Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi. Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya...
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu afafanua kuhama kwa Peter Msigwa. Ajibu tuhuma zake dhidi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe

    Kwa muhitasari: Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana" Tundu Lissu: "Kwa kuwa alikuwa ni rafiki yangu ktk misingi ya harakati za mapambano ya kisiasa na kwa kuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Tatizo siyo Awadh au Polisi bali Mfumo mzima wa CCM kumiliki Dola, ndio sababu nikiingia madarakani nitaleta Katiba Mpya!

    Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA. Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na...
Back
Top Bottom