U-CCM ni zaidi ya anaoujua Tundu Lissu na wapinzani. Nasimama na CCM kwenye demokrasia

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli.

Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika kuiishi wanaifurahia na wanaipenda sana. Na hapa takwimu za idadi ya wanachama wa jumuiya ya CCM na jumuiya za vyama vingine au wanachama wa CCM na WA vyama vingine zinatoa majibu ya Moja Kwa Moja Kwa Nini U CCM ni hitaji bora la nchi.

Nimemsikia Tundu Lissu akihimiza kukubali kukosolewa( hapa naamini anafikisha ujumbe Kwa Wana CHADEMA) ili kuepukana na U CCM. Bila shaka Kwa mtazamo wa Tundu Lissu U CCM haukubali kukosolewa. Huu ni upotoshaji mkubwa.

Msingi mkubwa wa CCM ni vikao na maamuzi yote yanafikiwa na vikao Ile ni vikao vya Kamati kuu, halmashauri kuu na mikutano mikuu Kwa ngazi zote na ndani ya vikao kuna kukubaliana na kutokukubaliana na mwishowe maamuzi kufikiwa. Hakuna hata uamuzi mmoja uliowahi kufikiwa na CCM bila kikao na hapa hoja ya Lissu ya kuhusanisha CCM na kutokukubali kukosolewa inakosa mashiko.

Ni CCM ndio inaendesha Serikali na maamuzi ya Serikali ni maamuzi ya wengi maana yake Kuna kukoselewa na kukosoa mambo mbalimbali lakini mwisho maamuzi ya wengi ndio yanafikiwa na yanaamriwa.

Kila kitu kinachofanywa na CCM ni Kwa kuzingatia sheria na kukosoa na kukosolewa pia. Ukosoaji unaohimizwa na CCM ni ule ukosoaji wa kuzingatia sheria, naamini hili hata Lissu analifahamu vizuri.

Lissu anachofanya ni danganya toto, kwamba CHADEMA kukosoana ni "pro max" kitu ambacho sio kweli. Inawezekana akawa amesahau lakini sio mbali sana. Uchaguzi mkuu wa CHADEMA uliomfanya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hiko ,aliyetaka kugombea uenyekiti Frederick Sumaye aliambiwa sumu haionjwi kwa kulamba alipomkosoa Mwenyekiti Kwa kutaka kugombea uenyekiti.
 
Tindo Lusi angekua anaimba taarabu angekua na nyimbo kali nyingi sana za vijembe na mipasho aise.....

anaongea hadi anasahau alikua anazungumzia nini dahh.....
 
umakini wa ccm ni upi miaka sitini plus baada ya uhuru watu wanapelekwa hospiali kwa machela huko kijijni kwenu mahenge?
mlienda shule kusoma ujinga tu
chama makini wakati wanakunywa maji ya tope?
unajua maana ya umakini wewe? labda umakini wa kukimbia na masanduku ya kura
 
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli.

Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika kuiishi wanaifurahia na wanaipenda sana. Na hapa takwimu za idadi ya wanachama wa jumuiya ya CCM na jumuiya za vyama vingine au wanachama wa CCM na WA vyama vingine zinatoa majibu ya Moja Kwa Moja Kwa Nini U CCM ni hitaji bora la nchi.

Nimemsikia Tundu Lissu akihimiza kukubali kukosolewa( hapa naamini anafikisha ujumbe Kwa Wana CHADEMA) ili kuepukana na U CCM. Bila shaka Kwa mtazamo wa Tundu Lissu U CCM haukubali kukosolewa. Huu ni upotoshaji mkubwa.

Msingi mkubwa wa CCM ni vikao na maamuzi yote yanafikiwa na vikao Ile ni vikao vya Kamati kuu, halmashauri kuu na mikutano mikuu Kwa ngazi zote na ndani ya vikao kuna kukubaliana na kutokukubaliana na mwishowe maamuzi kufikiwa. Hakuna hata uamuzi mmoja uliowahi kufikiwa na CCM bila kikao na hapa hoja ya Lissu ya kuhusanisha CCM na kutokukubali kukosolewa inakosa mashiko.

Ni CCM ndio inaendesha Serikali na maamuzi ya Serikali ni maamuzi ya wengi maana yake Kuna kukoselewa na kukosoa mambo mbalimbali lakini mwisho maamuzi ya wengi ndio yanafikiwa na yanaamriwa.

Kila kitu kinachofanywa na CCM ni Kwa kuzingatia sheria na kukosoa na kukosolewa pia. Ukosoaji unaohimizwa na CCM ni ule ukosoaji wa kuzingatia sheria, naamini hili hata Lissu analifahamu vizuri.

Lissu anachofanya ni danganya toto, kwamba CHADEMA kukosoana ni "pro max" kitu ambacho sio kweli. Inawezekana akawa amesahau lakini sio mbali sana. Uchaguzi mkuu wa CHADEMA uliomfanya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hiko ,aliyetaka kugombea uenyekiti Frederick Sumaye aliambiwa sumu haionjwi kwa kulamba alipomkosoa Mwenyekiti Kwa kutaka kugombea uenyekiti.
Sote tunajua uCCM ni ujinga, upumbavu na unafiki. Popote ulipo, Ukiwa na hizo sifa, piga kifua kwa kujiamini huku ukisema mimi ni kada mwaminifu, mtiifu na nguli wa CCM.
 
Wewe ndio mchanga wa siasa!!!
Watu wazima wengi unaowaona walikuwa ccm. Mfumo wa vyama vingi umekuja siku za karibuni.
Mimi pia ni ccm.
Mfumo wa vyama vingi ni kuleta mawazo mbadala kwa mustakabali wa nchi.,sio chuki au uadui.
Tatizo ufahamu ni mdogo, na ukiona mtu anamlenga mtu badala ya siasa yenyewe bado yuko mbali na dhana nzima ya vyama vingi,
Wengi mnataja watu badala ya vyama..
 
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli.

Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika kuiishi wanaifurahia na wanaipenda sana. Na hapa takwimu za idadi ya wanachama wa jumuiya ya CCM na jumuiya za vyama vingine au wanachama wa CCM na WA vyama vingine zinatoa majibu ya Moja Kwa Moja Kwa Nini U CCM ni hitaji bora la nchi.

Nimemsikia Tundu Lissu akihimiza kukubali kukosolewa( hapa naamini anafikisha ujumbe Kwa Wana CHADEMA) ili kuepukana na U CCM. Bila shaka Kwa mtazamo wa Tundu Lissu U CCM haukubali kukosolewa. Huu ni upotoshaji mkubwa.

Msingi mkubwa wa CCM ni vikao na maamuzi yote yanafikiwa na vikao Ile ni vikao vya Kamati kuu, halmashauri kuu na mikutano mikuu Kwa ngazi zote na ndani ya vikao kuna kukubaliana na kutokukubaliana na mwishowe maamuzi kufikiwa. Hakuna hata uamuzi mmoja uliowahi kufikiwa na CCM bila kikao na hapa hoja ya Lissu ya kuhusanisha CCM na kutokukubali kukosolewa inakosa mashiko.

Ni CCM ndio inaendesha Serikali na maamuzi ya Serikali ni maamuzi ya wengi maana yake Kuna kukoselewa na kukosoa mambo mbalimbali lakini mwisho maamuzi ya wengi ndio yanafikiwa na yanaamriwa.

Kila kitu kinachofanywa na CCM ni Kwa kuzingatia sheria na kukosoa na kukosolewa pia. Ukosoaji unaohimizwa na CCM ni ule ukosoaji wa kuzingatia sheria, naamini hili hata Lissu analifahamu vizuri.

Lissu anachofanya ni danganya toto, kwamba CHADEMA kukosoana ni "pro max" kitu ambacho sio kweli. Inawezekana akawa amesahau lakini sio mbali sana. Uchaguzi mkuu wa CHADEMA uliomfanya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hiko ,aliyetaka kugombea uenyekiti Frederick Sumaye aliambiwa sumu haionjwi kwa kulamba alipomkosoa Mwenyekiti Kwa kutaka kugombea uenyekiti.
Je!
Luhaga Mpina anatengwa kwa sababu gani kama hiyo Demokrasia ipo ndani ta CCM?
Ukweli ni kwamba Demokrasia pekee iliyopo ndani ya CCM ni ile ya kutumia Rushwa bila kupingwa!
Kwamba CCM mwenye Pesa nyingi ndie mwenye ushindi na ushawishi mwingi!
Watu wapo CCM sio kwa mapenzi ya chama, bali kwa mapenzi ya matumbo yao na familia zao!
Kwa sababu CCM ndiyo serikali.
CCM ndiyo kichaka salama kwa Mafisadi na kila aina ya waovu!
Ukiwa ndani ya CCM ni kama umejikinga mvua ndani ya nyumba ya Bati.
Na ukiwa upinzani ni sawa na kujikinga mvua ndani ya Tembe!
Tusidanganyane humu!
Wewe mleta mada ni sehemu ya genge ovu na hata kiswahili chako kinaashiria wizi!
Ahsante!
 
Back
Top Bottom