tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Msaada tumbo linasumbua.

    habari zenu wadau nasumbuliwa na tumbo upande wa chini kushoto(kwa kulibonyeza ila kawaida haliumi),pia hata nikibonyeza kwa juu napata maumivu au nikifanya mazoezi ya kukimbia hua napata hii shida na hata muda mwengine kichwa kinauma.
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  3. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Tumbo kuunguruma

    Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ni aibu,hii inasababishwa na nini?
  6. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Tumbo la uzazi?

    wakuu nilitaka kujua sababu ya Tumbo la uzazi au Chango la uzazi chanzo chake nini na nini Tiba yake kwa mama aliejifungua? Kuna jirani yangu hapa kajifungua jana ila analia sana tumbo hadi namuonea huruma.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  8. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Napenda Mishangazi yenye tumbo & michirizi ya utamu

    Binafsi napenda Mishangazi iliyoshindikana kama shishi, tumbo kubwa na michirizi ya utamu. Asanteni
  10. mkolaj

    JamiiForums Tanzania Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  11. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mpina ni mchumia tumbo tu, wala si mzalendo

    Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni. Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Je njegere zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
  14. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hizi sio mboga ni jaza tumbo

    Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula. Ila mimi nazipinga. Mfano: Majani ya maboga Kisamvu Mchunga Majani ya kunde Matembele Mlenda Mengine nimesahau majina. Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya Koo, Tumbo, Figo na Ini husababisha mdomo kunuka

    Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia mate au kinyesi

    Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata mtu kutokana na mtindo wake wa maisha(kutokula) au kwa kutumia baadhi ya dawa ambazo zinaweza...
  17. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  19. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  20. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Mimi na washkaji zangu tuliugua homa ya tumbo wakati tuko Tabora

    Habarini wana jamvii Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari. Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa...
Back
Top Bottom