tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu abnornal hernia (ngiri ya tumbo)

    Habari ya weekendi wana jamvi. Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform activity zangu kwa ufasaha ofisini kila dakika toilet kutoa ushuzi
  2. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuwaka moto

    Habarini wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua. naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Stress za maisha hazisababishi vidonda vya tumbo

    Kumekuwa na imani kuwa vidonda vya tumbo husababishwa kwa kiasi fulani na stress za maisha na msongo wa mawazo . Hili jambo si kweli. Stress zinazosababisha vidonda vya tumbo ni pyhsiological stress, hii ni stress inayotokea pale mwili unaposhindwa kufanya kazi vizuri. Mara nyingi hii hutokea...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa, nikiangalia wale settlers wa Zimbabwean na South Africa waliweka pesa nyingi kwenye kilimo na wanazalisha vyakula kwa wingi. Wakati wa British East Africa, wazungu waliopenda kulima walipewa ardhi lakini kwa masharti ya kuonyesha bank statement inayoonyesha...
  6. Kipenseli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Vidonda vya Tumbo vinaweza kupelekea Umauti?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine zimenipa khofu. Nataka niamini tunkwa ushuhuda ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kupelekea kifo? na je...
Back
Top Bottom