Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto lakini nilitumia ndani ya wiki mbili tu nikaanza kuona unafuu na Leo nakula kila ambacho vidonda havipendi uvitumie ukiwa navyo, hii dawa kama nitaamua kucharge gharama ni kubwa sana hivyo nataka kuwasaidia watu na hii changamoto, mtu utapaswa kulipia hela ya kutumia dawa tu kama upo mbali na mwanza nilipo Mimi, na kichimba dawa tu 25000/ pamoja na hela ya gallon za Lita Tano za maji kwa ajili ya kuweka dawa. Kama utatumia dawa hii na usipopona nakurudishia hela yako yote utakayokuwa umetumia kupata dawa hii.

Tuwasiliane kwa mamba 0785565583 kwa maelezo zaidi.
 
Sio unanirudishia Hela kama sitapona,, tangazo lisomeke hivi ""Mteja halipi chochote Kwanza mpaka ahakikishe amepona""
Tangazo liko hivo nadhani, maana anacholipa ni kichimba dawa tu atakapo pona yeye ndiye atanitafuta kunipa shukurani
 
Kama unasumbuliwa na kutokujua matumizi ya nukta, koma na kupanga paraghrafu kwenye uandishi tuwasiliane.
Namba ya simu ndio nasajili kwa vijana, tuvumilie kidogo.
 
Jf walifuta uzi wangu,
Ila namshukuru Mungu, hii jf ilinipa mtu akanitibia vidonda vya tumbo ambavyo vilinitesa miaka mingi nilikata tamaa kabisa.

Jamaa aliniambia ananitibia nisipopona nisimlipe, nikipona nimlipe laki nne..

Akaniagiza nikapime then nimtumie majibu ile hali nishafanya endoscop nne ndan ya miaka miwili.
Hata sikua nimemaliza kopo la pili jamaa akaanza kunidai nusu ya pesa.

Ninachoshukuru nilipona.
Nakula kila kitu
Maharaja
Dagaa
Ndimu
Beer nakunywa(pombe kali bado naziogopa)
Pilau nimelichukia baada ya kuumwa..
Nimepona kabisa kabisa ni kama sikuwahi kuumwa..nikikuonesha picha ya mwisho ya ndani ya tumbo langu utashangaa nimeponaje..
 
Dawa zipo ni ngumu watu tu kuamini
 
Habari mkuu naomba kujua cost ya endoscopy na ulifanyia hospital gan?
 
Jf walifuta uzi wangu,
Ila namshukuru Mungu, hii jf ilinipa mtu akanitibia vidonda vya tumbo ambavyo vilinitesa miaka mingi nilikata tamaa kabisa.

Jamaa aliniambia ananitibia nisipopona nisimlipe, nikipona nimlipe laki nne..

Akaniagiza nikapime then nimtumie majibu ile hali nishafanya endoscop nne ndan ya miaka miwili.
Hata sikua nimemaliza kopo la pili jamaa akaanza kunidai nusu ya pesa.

Ninachoshukuru nilipona.
Nakula kila kitu
Maharaja
Dagaa
Ndimu
Beer nakunywa(pombe kali bado naziogopa)
Pilau nimelichukia baada ya kuumwa..
Nimepona kabisa kabisa ni kama sikuwahi kuumwa..nikikuonesha picha ya mwisho ya ndani ya tumbo langu utashangaa nimeponaje..

Hongera kwa Kupona Mkuu.

Katika watu walioteswa na vidonda vya tumbo hapa JF ni wewe mkuu.

Nakumbuka Dozi yako ya Mkojo nk.

Nilitaka nikutumie Dawa iliyoniponyesha mimi Bure kabisa nikawa nimesahau Id yako.

Ila nilikutafuta mno.
 
Kaka Mungu ni mwema,maradhi yanatesa,unaweza ukafa masikini, nimekunywa mikojo ya asubuh mzee wangu na inavyonuka.. anayesema mkojo ni dawa nakataa kabisa wala siwashauri watu wanywe...mkojo ni taka mwili haitibu lolote...
Kaka nitashukuru kama utanijuza hiyo dawa ili tuwasaidie na wengine...mana ndugu zangu wengi wananitafuta ili niwasaidie dawa niliyotumia..ila gharama yake ni kubwa, wengine wanapona wengine hawaponi tokana hawafati masharti wanaishia kuniona tapeli..

Hiyo ya bure nina iman itakua msaada mkubwa sana kwao
 
Back
Top Bottom