Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League.
United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi.
Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma.
Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira.
Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma.
Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19.
Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa.
Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka.
Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika.
Kuna...
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
Wakuu,
Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
========
UPDATE:
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo.
Taarifa kutoka kwa...
Nina tatizo kama miezi mitatu iliyopita, nikipigwa na baridi tumbo lina unguruma na kama baridi likiwa kali sana nafikia hatua mpaka na harisha. Nilikuwa nijue tatizo nini?
Nikishaenda Hospital wakanipima wakaniambia sina tatizo, ila bado nikipigwa na baridi tumbo linasumbua.
Utafiti mpya uliofanywa na wanasayansi wa shirika la kimataifa la utafiti wa saratani, IARC na wale kutoka Kenya, Tanzania na Malawi umebaini pombe kuwa kinywaji hatarishi na kichocheo cha saratani ya tumbo, ESCC, hususan miongoni mwa wanaume.
Ukiwa umechapishwa katika jarida la kitabibu ya...
WATER THERAPY
Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo:
1. Uzito usiotakiwa
2. uchovu kwa wakati usiostahili
3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala
4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk
5. kupunguza Tumbo/ Kitambi
6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp.
Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako!
Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
Ndugu zangu naomba msaada
Mimi nina tatizo ambalo Lina ni sumbuwa Saana siku izi sijui Nini chanzo hasa
Yaani nafanya ni kila tumbo ina jaa saana chakula mpaka inafika kipindi naona kama vile cha kula kinapanda mpaka kwenye kifuwa ndo Sakia kama vile tumbo imebanana Na kifuwa ivi.
Yaani Na...
Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
Kuna mtindo umeingia hivi Sasa hapa mjini wa wadada kutengeneza shepu na kupungiza tumbo kwa kufunga mikanda tumboni.
Mtindo huu siyo mzuri ndugu zanguni maana mikanda hii inabana sana tumbo. Kumbukeni viungo vyote mwilinj vinahitaji hewa na damu, lkn mikanda hii inabana kiasi cha kuvifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.