tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindi

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Polisi kubambikiza kesi, kunyanyasa, kutesa na kuua watu, zinahitaji hatua madhubuti

    Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake dhidi ya chanjo

    Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu. Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
  3. waziri2020

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Kilimanjaro chunguzeni tuhuma hizi

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha. Taarifa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mali: Waziri Mkuu wa zamani akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya Rais miaka kadhaa iliyopita. Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege ya Rais ambayo ilinunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40. Alikuwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2017...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuhuma inayoharibu future kwa maumivu makubwa. Je, Serikali ina la kujifunza?

    Hii ni simulizi ya kutia huzuni mno ya mhanga wa kusingiziwa tuhuma aliyekaa gerezani mahabusu kwa miaka tisa.. Pengine katiba mpya itarekebisha haya mapungufu ya kisheria. Kipindi cha pili na cha mwisho cha utawala wa hayati Benjamin Mkapa kulikuwa na matukio mengi sana ya uvamizi wa kwenye...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi wa Mbowe "una-doubt" umakini wa Vyombo vya Usalama vya awamu iliyopita

    Nikiitazama hii picha, Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli. Walinzi...
  8. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

    Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    "Mohammed akamuita askari, ambaye sijui ni mlinzi wake Mungu anajua sitaki nimuingize katika mtihani.Akamuambia tuonyeshe Hajji namna gani anahujumu.Yule bwana akatoa simu yake akawa anaonyesha limeandikwa jina langu pale Saa tatu usiku ulisomeka mnara wa posta, saa tano ulisomeka mnara wa...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE? Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na kudhuru viongozi wa Serikali. Mbowe alitiwa mbaroni akiwa Jijini Mwanza. Toka namfahamu Mbowe amekuwa na...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma kuwa viongozi wa kitaifa hawakuchanja chanjo zikanushwe na ufafanuzi utolewe, zinapotosha na kutia hofu Wananchi

    Hizi tuhuma zinaenezwa sana kupitia mitandao ya kijamii. Hii mitandao ya kijamii ina nguvu sana maana ndio source of information. Wanaoeneza hizi tuhuma wameenda mbali na kudai kuda hata hawa viongozi walipokuwa wakionyesha umma kuwa wanapata chanjo manesi waliowadunga chanjo hawakuvuta dawa na...
  14. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili?

    Kwema wakuu? Hivi Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini mahakaman kujibu tuhuma za ugaidi zinazomkabili?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Tuhuma za Ugaidi ni silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa

    Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Pale samaki alipotuhumiwa kuzamisha meli ya uvuvi haramu

    Ukisikia kuna kupungukiwa akili, ndiyo huku. Ukikaa mbele ya luninga yako, halafu ukasikia kuwa mazalio ya samaki yanaharibiwa na wavuvi maharamia wa majini. Halafu baadaye ukamsikia mvuvi haramia akitamka kuwa wameanzisha mapambano dhidi ya samaki kwa sababu amezamisha meli ya kisasa ya uvuvi...
  17. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjamshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kamilisheni uchunguzi wa sumu aliyopewa Mangula

    Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe! Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
  18. kiraremapojoni

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenye tuhuma anaweza kufukuzwa kabla ya tuhuma kuthibitishwa?

    Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi. Cha kushangaza...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga awasimamisha kazi viongozi wa vijiji tuhuma za wizi Songwe

    Mkuu wa wilaya ya Songwe Simon Simalenga amewasimamisha kazi viongozi wote wa kijiji cha Saza ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za wizi wa makinikia ya dhahabu, utawala wa mabavu na kuminya uhuru wa wananchi kujieleza, malalamiko yaliyoibuliwa na wananchi kupitia vituo vya ITV/Radio One...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
Back
Top Bottom