kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.
Cha kushangaza amemuambia kama alifukuzwa kazi wakati bado anaripoti polisi na ishu polisi imekwisha ila bado hajarudishwa kazini. Ninaomba mwongozo hili jambo linawezekana au ndo matumizi mabaya ya madaraka.