Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.
Alienda mbali na kusema wao kama serikali hawawezi kukutaja hadaharani hivyo bila kuwa na uthibitisho na wala kutiwa hatiani na Mahakama.
Namnukuu pia "Si kila anayetajwa anahusika na dawa za kulevya, mtu mwingine naweza nkakutaja kwa visa tu"
-Gerald Kusaya - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya.
Pia soma: Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...