tigo

  1. Various Posts at TiGO March, 2024

    Tigo Tanzania is the leading innovative telecommunication company in the country, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle brand. Projects Manager Products Quality Assurance Officer Products Manager UI/UX and Front-end Developer Business Solutions Architect Lead Manager, Store...
  2. Mtandao wa tigo una "filter" text meseji zetu

    Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
  3. Tigo Mastercard 💳🤔

    Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...
  4. Msaada Kitochi cha Tigo, kimestack on logo

    Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo. Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni mara ya pili kinarudia hili, mara ya kwanza kilitokea nikakipeleka kwenye Tigo shop yao Dodoma...
  5. Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  6. Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

    Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666. Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
  7. Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Eneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi! Kwenu hali ikoje? ======
  8. TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  9. B

    Huduma ya Tigo Bima ikoje? Kuna mtu amewahi kunufaika nayo?

    Poleni na majukumu ya leo. Leo nimepokea simu toka Tigo Bima kisha wakanieleza juu ya hizi huduma ambazo nitanufaika nazo pindi nitakapota matatizo. Je, kuna aliyewahi nufaika na hii huduma kwamba hakuna longolongo? Je, mteja atapata pesa yake kwa wakati baada ya kupata ugonjwa na kulazwa...
  10. Tigo huu ni wizi mbaya sana mnafanya.

    Nimeangalia huduma ya taarifa fupi ya miamala. Mmeleta msg kuwa huduma haipatikani kwa sasa sababu ya mtandao. Lakini mmekata Tsh 50 ya huduma. Huu kama siuo wizi ni kitu gani?
  11. Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
  12. Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  13. Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  14. Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  15. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  16. Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  17. Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

    Habari zenu wana jukwaa? Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani. Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila...
  18. Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo kudhibiti kiwango cha juu ya muamala pale ambapo akaunti yako inakiasi cha kutosha kufanya muamala...
  19. T

    Geita: Mawasiliano kwa mtandao wa tiGO ni changamoto

    Nimekuwa mtumiaji wa huu mtandao kwa zaidi ya miaka 18 (nikibadirisha chip mara moja tu kuendana na mahitaji ya mabadiriko ya teknolojia) sasa enzi hizo buzzy ni bomba na ile longa longa ukikesha huku ukihangaika kupata laini… enzi hizo mabibo hostel vijana usiku ndo ulikuwa muda wa...
  20. Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…