Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
1700772008035.png

Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni 500.

Kwa kiasi hicho Mwana Fa itakuwa aliamua kuchota walau 200 zake kuingia kwenye siasa na kweli aliingia kwa kishindo kwenye kipindi cha uchaguzi, Pesa hizo zinaweza kutosha kufanyia kampeni, kuwapooza wajumbe na kupata backup ya anachama, kumbuka nje ya upinzani hata ndani ya ccm kuna upinzani.

Kwa upande wa AY wengi tulikuwa na shauku ya kujua uwekezaji ataofanya maana hata yeye anajiita mzee wa commercial na kashafanya biashara kadhaa ikiwemo kumiliki kipindi maarufu cha Mkasi, kampuni ya unity entertainment, n.k.
 
Alizitumia vizuri tu kuna kiasi kama 50m alitumia kuoa toto ya kinyaruanda . Zilizobaki alitumia kununua nyumba kule U. S pamoja na ishu za makaratasi ya hapa na pale ili apate green card . Na charge kiasi kafanya uwekezaji wa boat zinazopeleka watu mbudia .
 
Kununua nyumba US ile ni ndoto yake, kule nyumba ni bei sana, alisema maeneo mazuri nyumba ya kawaida ni dola milioni 1 (bilioni 2.5)

Kuhusu mke wake niliona post humu JF waliachana, walisharudiana ?
 
Ndio hyo pesa alionga ccm apewe ubunge

Kwa kumngoa kwa nguvu ndugu adady rajabu
 
Sahih kbsa Ni jiwe ndio alimlazimishaa awe mbungu jamaa kwenye kura za maoni alopata 215 wakt adady rajabu alipata kura Mia 500++++
Polisi hasitahili kiwakilisha wananchi. Hana guts. Bora aliondolewa hata iwe kwa mizengwe.

Wananchi tumeshasema polisi wasicheze na sisi wana mikono michafu
 
Alizitumia vizuri tu kuna kiasi kama 50m alitumia kuoa toto ya kinyaruanda . Zilizobaki alitumia kununua nyumba kule U. S pamoja na ishu za makaratasi ya hapa na pale ili apate green card . Na charge kiasi kafanya uwekezaji wa boat zinazopeleka watu mbudia .
Alafu yule mtoto wa Kinyarwanda simuoni siku hizi niaje kwani?
 
Back
Top Bottom