tigo

  1. Analogia Malenga

    Mwaka 2018, Tigo walitakiwa kumlipa mteja Tsh 1,000,000 kwa kumkata fedha ya huduma ambayo hakuwa amajiunga kwa ridhaa yake

    Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
  2. Kabelwa

    Msaada, laini ya tigo haisomi data

    Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa nimejaribu data setting za tigo na hata zantel hazionyeshi mtandao kama ni 2g,h+ au 4g ,naomba msaada...
  3. T

    Mtandao wa TIGO Mbona huu ni kama wizi wa mchana kweupe

    Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo. Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha. Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
  4. Half american

    Hiki wanachokifanya Tigo ni kero kwa wateja

    Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa. Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Uswahilini kumeoza, ndugu yangu alizomewa mtaani kisa kakataa 'tigo'

    Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu. Sasa siku moja tulikuwa tunapita mtaa wa pili kwa mguu nikashituka kusikia wadada wawili watatu...
  6. Wakili wa shetani

    Kwa nini nashindwa kufungua websites nikitumia mtandao wa Tigo?

    Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta. Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa. Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
  7. Replica

    Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

    Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo. Honora Holdings Limited imesajiliwa...
  8. APA CHICAGO

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
  9. Replica

    Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  10. F

    Mtandao wa Tigo intaneti iko chini sana

    Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
  11. Jamii Opportunities

    Internal Auditor at Tigo (2 positions)

    Position: Internal Auditor (2 positions) HOW TO APPLY If you are interested in applying for either of these positions, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Head of Internal Audit). Attach your updated CV (in PDF...
  12. Jamii Opportunities

    Head of Internal Audit at Tigo

    Position: Head of Internal Audit HOW TO APPLY If you are interested in applying for either of these positions, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Head of Internal Audit). Attach your updated CV (in PDF format)...
  13. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
  14. Jamii Opportunities

    MFS Product Development Specialist at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: MFS Product Development Specialist How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in...
  15. Jamii Opportunities

    Cyber Security Manager at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Cyber Security Manager How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in PDF format...
  16. Jamii Opportunities

    Innovation Officer at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Innovation Officer How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Innovation Officer). Attach your CV in PDF format. Deadline...
  17. Maleven

    Wahenga, Kuongea bure baada ya dakika ya 3 :Tigo, My number 1: Vodacom

    Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa. Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi Vodacom: unajiunga shiling 50...
  18. sky soldier

    Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  19. pantheraleo

    Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  20. K

    Tigo, Tanesco wezi tu

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilinunua umeme kwa kupitia simu yangu ya mkononi. Sikujua kuwa kulikuwa na tatizo la kimtandao katika mojawapo ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo au Tanesco wanaouza umeme. Kibaya zaidi, baada ya kununua umeme, pesa ilikatwa kwenye Tigopesa lakini...
Back
Top Bottom