tigo

  1. Stroke

    Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

    Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani? Halafuu, hayo...
  2. Poppy Hatonn

    YAS nadhani wamepanga kutuibia hela nyingi kuliko TIGO

    Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
  3. Teslarati

    Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

    Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
  4. Mshana Jr

    Tigo na Yas, Lila na fila

    Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi...
  5. DolphinT

    Hili jina la Tigo kuwa Yas limenishangaza kidogo

    The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The term gained popularity within LGBTQ+ ( L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au...
  6. Samia atosha tukutane2030

    TIGO sasa ile laki 8 yenu ya nivushe plus tumemalizana kiaina. Ngoja nisajili line ya YAS

    Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni. Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo. Ok yote kwa yote na Mimi laki 8 yenu napita nayo shwaah. Siwezi kumlipa YAS, Mimi simfahamu
  7. Bwana Bongo

    Nipendezwa na Tigo kubadilisha hili jina lilokuwa limeanza kuwa na maana mbovu

    Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi Sema yaaaas Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli "Naomba Tigo? "unatigoo hapo? "Tigo unatoa? Shwainiiii😅 na kuwakomoa tunasema Mixx by yas ipoo swafiii kabisaa😅
  8. Camilo Cienfuegos

    Huduma ya Mixx by Yas (zamani tigo pesa) haipo hewani

    Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu. Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao. Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
  9. Prince_Nurudin_Tz

    Yanga sc ndio timu ya kwanza kufungwa toka kampuni ya tigo kubadilisha jina

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  10. Inside10

    Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  11. Optimistic_

    Vifurushi vya Tigo Unlimited internet, Postpaid

    TIGO INTERNET UNLIMITED Bundle hizi tutaakuungia kwenye simu yako ya mkononi au kama una device yako ya internet. Tuma ujumbe Whatssap au piga simu 📞0765991551
  12. Optimistic_

    Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo

    Pata Router ya 5G kutoka Tigo – Furahia Internet ya Kasi Bila Kikomo! Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo na mwezi mmoja wa intaneti bila malipo! Hii ni nafasi ya kipekee ya kuunganisha familia na marafiki, kufurahia video za ubora wa juu, na kuvinjari bila kukwama. ✅...
  13. E

    Natafuta eneo ya kufanya Uwakala wa Mitandao ya simu Kinondoni Dar es Salaam

    Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam Naomba aje inbox
  14. Mlaleo

    Komandoo Ahmaz wa Hezbollah Navy aliyekamatwa na Israel akutwa na line ya simu ya tiGO

    srael has confirmed its involvement in the abduction of Lebanese national Imad Amhaz. The Israeli Army Radio reported that the operation was planned well in advance, awaiting the right moment for execution. For Tel Aviv, Amhaz is linked to the smuggling of naval weapons from Iran through Syria...
  15. Powder

    Ujumbe wa wazi kwenu Tigo Tanzania

    Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile! Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao. Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na...
  16. Trainee

    Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

    Unapiga namba unaambiwa inatumika Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia Madhara ya hiyo kitu...
  17. Dalton elijah

    Shutuma dhidi ya Tigo ukibakiza MB 20 au 30 wanazuia mtandao

    Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake. Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo. Aseme hapa kwa sababu Tigo...
  18. R

    Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
  19. S

    Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

    Ni habari katika picha
  20. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
Back
Top Bottom