Tigo Mastercard 💳🤔

Jiwe_

Member
Jul 18, 2013
24
16
Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na Mastercard kwanini mimi ndo niwapigie Mastercard? Pia napata wapi hizo namba za customer care za Mastercard?
 
Hebu tupe akili mkuu sisi wengine tupo Matombo Mtombozi huku hatuelewi huyo mastercard anawajibu gani nasi tuungane naye
 
Back
Top Bottom