Mtandao wa tigo una "filter" text meseji zetu

Mr DIY

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
1,111
2,320
Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani...

Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
Screenshot_20240310-222610_Messages.jpg
 
Umeshindaje? nayo haiendi
Unaweza kuzani uliyemtumia ana kiburi kumbe wapi? Kuna maneno ili yaende inabidi uandike kifupi au kwa namna nyingine. Wanazingua sana.
 
Back
Top Bottom