Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,693
17,249
Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.
Screenshot_20231010-121353~2.png
 
Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
Airtel pia hata ya Kiswahili. Kuna mambo mengi yanapigwa marufuku kimya kimya.
 
Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
Mkuu hii ni kweli. Jana nimechat sana na Bebe, kuna text nikawa nimeandika ikiwa romantic, nikashangaa haiendi. Nikaicopy na kuituma upya haikwenda. Nikaandika kitu kingine nikatuma kikaenda. Nikairudia ileile message kuituma haikwenda pia. Ikabidi niisome upya. Nikaedit nilipoandika neno sexy, nikatumia neno jingine ikaenda.

Hili suala ni kweli kabisa mkuu
 
Shida ni keyboard yako umeiset iweze kublock "Offensive words" na hilo neno "Sex" utakuwa umeliinclude among offensive words..
Naona hujasoma uzi wangu hadi mwisho, shida ni kwamba nikibadili sim card nikatumia voda au halotel msg zinaenda kwa simu hii hii. Naingekuwa ni keyboard nadhani hata hapa lizingeandikikia
 
Back
Top Bottom