tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Mi bishoo tu

    JamiiForums Tanzania Updates:Vurugu zaendelea Tena magu Kwa siku ya pili

    Sakata la wananchi wa Magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana. Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wameshapanik, zama zile za giza zinarudi tena!!

    Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU. Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo. Angalia kwenye Kila chaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kipanya tena na fasihi ngumu!

    Nimemgwaya!
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ndugu Simba SC au Singida FG, tutachezesha kikosi kingine jumapili na haturudii hiki tena

    Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje. Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;- Metacha/Mshery Kibwana Nickson Kibabage Job Gift fredy Jonas Mkude Mauya Sureboy Pacome Aziz ki Nkane Hafiz konkoni Mzize Watakaojirudia...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter kubadilishwa jina na mwonekano kuanzia leo, Itaitwa "X"

    Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'. Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

    Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia. Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hospital teule ya isoko ,itabaki magofu kama serikali haitachukua hatua, imechoka na haitamaniki Tena!

    hii ni hospitali ni yenye historia kubwa ukanda wote wa mbeya na hasa wilaya ya ileje ! Ndio ilikuwa tegemeo kuanzia miaka ya 1951 ilipokuwa zahanati Hadi kufikia 1961 ilipokuwa hospitali kamili ..hospitali hii kulingana na jiografia yake wagonjwa walikuwa hawabebwi na ambulance kulingana na...
  9. Street brain

    JamiiForums Tanzania Wewe ni wa pekee, usijichukulie mnyonge

    Jambo letu tena! Jipe thamani mwenyewe. Usijichukilie kuwa mnyonge sana. Jikumbushe mambo mazuri mengi uliyofanya. Jikumbushe mbali ulikotoka na mengi uliyoyafanikisha. Utagundua kuwa wewe ni wa pekee. Jikumbushe mara nyingi kuwa wewe sio wa kawaida. Mafanikio yako ni matokeo juhudi zako. Hata...
  10. Street brain

    JamiiForums Tanzania Muonekana wako pekee hautoshi kuwaeleza wengijne juu ya uwezo wako

    Jambo letu tena! Muonekano wako pekee hautoshi kuwaeleza wengine uwezo wako au nguvu zako. Jitahidi kuwavutia wengine kwa namna utakavyotumia akili yako kutatua changamoto zinazoisibu jamii. Ichangamshe akili yako ili upate namna ya kuepuka mawazo yasiyosaidia lolote. Jizoeze kujikubali na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali irejee upya ongezeko la bei ya mafuta

    Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini. Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Leo ngoja niwarudishe kwenye utoto tena.

    Kwa wale tulio kwenda Drive Inn Cinema na madingi mnakumbuka hii nyimbo kwenye zile speakers za kuning'ingiza dirishani kwenye gari?, kila ninapo isikia inanipa feeeling kubwa ya kumbukumbu zinazo nirudisha kabisa kwa kujiona kama niko Drive Inn cinema kwa ile ile hali niliyo ifeel...
  13. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Electronic warfare: Urusi yakwamisha vifaa vya kimarekani,haviwezi kupiga tena.

    imeelezwa kuwa uwezo wa Urusi kubadili mbinu katikati ya mzozo imeipa nguvu kubwa ya kupambana na silaha ilizopatiwa Ukraine ambazo zinatumia GPRS ili kupata shabaha zake. Mwanzoni Urusi ilikuwa inatumia mitambo mikubwa kwa ajili ya kazi hiyo ambayo ilikuwa ikitembea katikati ya msururu wa...
  15. Isunji dark

    JamiiForums Tanzania Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia. Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake. Sasa katika mahusiano yetu tulipendana sana yeye alionyesha kunijali japo sijui rohoni alikua...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

    Mda huu nakuandika habari hii saa 23:56 Dar Es Salaam! Radar zinaonyesha ndege ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliondoka nchini Tanzania saa 15:56 ila ilipotezwa kwenye radar dakika kadhaa baada kuruka! Muda huu naleta taarifa hii ndege ya Rais imeonekana kutua tena Dubai. Je...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ukarimu wa watu wa Xinjiang Uighur wavutia watu na kutamani kwenda kutembea tena

    Katika mji wa Karamay mkoani Xinjiang Uighur, China kuna soko moja la usiku ambalo ni maarufu sana. Soko hili linajulikana kwa jina la 'Farasi Wanane'. Baada ya matembezi ya siku nzima wenyeji wetu walitupeleka ili nasi tujionee yanayojiri kwenye soko hilo. Kawaida soko la 'Farasi Wanane' licha...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe pole tena kwa Wanafunzi waliozama Ziwa Victoria

    Naandika Kwa uchungu sana, miezi michache iliyopita Kuna wanafunzi walizama hapa Kigoma Kwa mtumbwi. Leo Tena tukio kama Hilo limetokea, kama kawaida Viongozi wa CCM na Serikali watalitumia Tukio hili kupata political mileage. Dah --- Shughuli ya kutafuta watu 13 waliozama ndani ya Ziwa...
  19. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

    Simba ni sikio la kufa. Nilimtumia Email Kajula. Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano. 1. Dejan. 2. Santos. 3. Wilker Da silver. 4. Fraga. Lakini wapi. Leo aibu imewapata. Baada ya kuachana na huyo Arison Beker wa mchongo wanarudia tena kosa kwenda...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Back
Top Bottom