Haya uto Rais katoa dege dreamliner, mkafungwe tena

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
 
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
vyovyote vile ila ndo ivyo tupo fainali,we utaskia hizi vitu lkn hugusi hizi levo
 
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
Kama unafikiri ndege inatolewa tu bure kwa kila timu na kila hatua wambie alliance girls nao waombe kama watapata
 
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
Dege la kuwarudisha UTO kishujaa na Medali za CAF .

Kama hukuelewa, serikali imetengeneza Political Mileage sababu hata Uto akifa Algeria wataipokelewa kishujaa na serikali.

Punguza kasiriko mkuu.
 
Wangewaambia CAF wawatumie tu hizo medali kwa DHL wasipoteze gharama kwenda kudhalilishwa.
 
Kila nikikaa nikitafakari naona goli 4-0

MWARABU umempulizia SUMU.
MWARABU yupo kwake.
MWARABU analiona Kombe.
MWARABU amekupiga kwako.

Bado tu wanadhani watapindua MATOKEO.

4
 
Kila nikikaa nikitafakari naona goli 4-0

MWARABU umempulizia SUMU.
MWARABU yupo kwake.
MWARABU analiona Kombe.
MWARABU amekupiga kwako.

Bado tu wanadhani watapindua MATOKEO.

4
Halafu dogo, Ali Kamwe, hajamuomba msamaha yule mzee wa Handeni. Unafikiri uto atatokaje?
 
Watakula goli 4, hadi half time watakula chuma 2 alafu dhahama nyingine kipindi cha pili. Lawama anaenda kupewa Mwamnyeto na kuna mchezaji atakula kadi nyekundu

Bora dege lingebeba mahindi kutoka mahenge tupate ugali tu
 
Uto muombeni msamaha yule mzee mliyemuita andazi. La sivyo Jmosi msije shangaa mnapigwa mkono
 
Back
Top Bottom