teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini teknolojia mithili ya miujiza iitwayo ‘Neuralink’ haizungumziwi kabisa?

    Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha binadamu kuzunguza kuwasiliana bila kufungua mdomo (sauti) wala kuandika (herufi). Teknolojia hii...
  2. Altae04

    Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  3. TheChoji

    Wadada: Kuweni makini na teknolojia

    Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki kivile zaidi ya kuonana tu kazini mara kwa mara. Sasa baada ya ku connect ile external nikamuuliza...
  4. M

    SoC01 Tuiendeleze Tanzania yenye asili yetu, kwa kuendana na kasi ya Teknolojia

    Tanzania ni nchi tajiri na yenye amani kubwa inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa. Utajiri huu unatokana na rasilimali tulizonazo Kama vile Madini, watu, Wanyama na vinginevyo. Uendeshwaji na matumizi ya rasilimali hizi unapaswa kushirikisha wananchi ambao ni wadau muhimu wa maendeleo. Malumbano...
  5. Erythrocyte

    Manara ukiwa muongo usiwe msahaulifu, teknolojia imekuumbua

    Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba. Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
  6. Baba Swalehe

    SoC01 Matumizi ya Simu na Afya ya Akili

    Tunaendelea na mada zetu za afya ya akili ambapo leo tutaangalia jinsi simu zinavyoathiri mfumo mzima wa akili na jinsi jamii inavyopeteza uwezo taratibu bila yenyewe kujijua na nini kinaweza kufanyika . Tupo sasa katika ulimwengu wa kiteknolojia ambapo simu zimechukua nafasi ya vitu kama vile...
  7. IIoT

    SoC01 Dunia inakwenda kasi, tusibaki nyuma

    Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu. Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
  8. J

    Prof. Kitila tembelea Rwanda ukatuletee teknolojia ya kutengeneza magari badala ya kuzindua matela

    Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi. Mungu ni mwema wakati wote!
  9. Frank Akile

    SoC01 Fahamu umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kidijitali

    FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI. Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia ya sasa inaendeshwa kama sio kujiendesha yenyewe katika mifumo ya kikompyuta na au kiintaneti. Dunia...
  10. E

    SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  11. Youngblood

    SoC01 Athari za kukua kwa Teknolojia na Uhuru wa kupata Habari

    Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu. Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa utandawazi, teknolojia pamoja na huduma za intaneti zimeboresha kwa kiasi kikubwa hali iliyochangia...
  12. K

    SoC01 Pendekezo: Ianzishwe Wakala wa Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Vijijini

    UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali. Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
  13. Tomaa Mireni

    Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

    Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa. Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta. Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
  14. T

    SoC01 Matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika uvuvi

    Ikiwa suala la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa sio tu nchini bali pia nchi jirani, ni wazi kua kujiajiri imekua fursa pekee kwa vijana kujipatia kipato. kwa bahati nzuri tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji ambavyo vinatupatia mazao ya majini ikiwamo samaki. Wavuvi wadogo nchini wamekua...
  15. Allist

    SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  16. Quavohucho

    SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  17. mhinirama

    Kujifunza teknolojia kuendana na karne ya sasa

    Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao. Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya picha na pia utengenezaji wa video zinawapa watu faida kubwa kama watumiaji wa...
  18. Sam Gidori

    Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  19. Kipenzi Changu

    Yanga muwe na aibu, ogopeni teknolojia

    Yanga ikianzisha mpira wa haraka na kujipatia goli. Wakifanya wao sawa,wakianzisha wengine sio goli. Hakika hawa ni Utopolo
  20. B

    Suluhisho dhidi ya kuchochea maambukizi ya Covid-19 nyakati za usaili wa kazi

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda. Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa. Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam. Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
Back
Top Bottom