Teknolojia inazidi kukua.
Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.
Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME
Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame
Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya.
Nape ambaye aliongozana na Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Kanisani hapo kwa mchungaji kiongozi Dr Kimaro, amesema...
UTANGULIZI;
Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha”
Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo
wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu?
Elimu ni njia ambayo jamii hutumia kupitisha maarifa,ujuzi,taarifa kutoka kizazi kimoja au kingine
Elimu...
UTANGULIZI.
Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya siasa, elimu, pamoja na masuala ya kijamii.
Teknolojia
NI ujuzi wa kutumia vyombo (mashine) Ili...
MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA
Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
Utangulizi
Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na tunaelekea wapi. Pia kujifunza teknolojia itakusaidia kuelewa na kutatua matatizo madogo na hata makubwa...
Ukuaji Wa Sayansi Na Teknolojia.
Awali ya yote tunatakiwa tujue nini maana ya Sayansi na Teknolojia,na ndani ya Sayansi na Teknolojia Kuna kitu gani na kitu gani na vina umuhimu gani ama na mchango katika maisha au mfumo mzima wa maisha ya binadamu.
Tukianza na Sayansi kiujumla ni maarifa...
MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA
PROFESSIONAL: IT specialist
-Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3.
1. Katiba itabadilishwa.
2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa.
3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
Habari zenu Wana jf?
Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani.
Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
Chemsha bongo!
Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali?
Ukweli ni kwamba vijana...
UTANGULIZI:
Sensa ya watu na makazi ni nini?
Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
Mataifa makubwa na ya kati tunayoyaona leo yaliwekeza kwenye Sayansi na teknolojia,ndipo yalipofikia apa tunapoyaona.Ili taifa letu la Tanzania kuweza kukua halina budi kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia kwa kukuza na kuendeleza vipaji vya wabunifu wetu.
Katika taifa letu tumesikia wabunifu...
UTANGULIZI
SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA TANZANIA
Katika nchi yetu ya Tanzania sayansi na teknolojia imekua chini sana na imekua vigumu katika kuboresha sayansi na teknolojia kwani nchi nyingi za afrika tupo nyuma katika suala zima la sayansi na teknolojia ila kwa upande wa Tanzania serikali imekua ikiboresha mara...
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Imeandaliwa na Rahul
(CEO @RahulComputerService)
UTANGULIZI
Hii ni habari fupi ambayo itaeleza kuhusiana na SAYANSI NA TEKNOLOJIA ambapo tutaangazia mambo mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya sayansi na Teknolojia pia tutaangazia pamoja na hasara na faida zake na nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.