Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya Virusi vya Korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha ya watu kwa muda mrefu.
Mbali na njia mbalimbali za kupambana na maambukizi kama kufunga shule na kuzuia mikusanyiko, Watanzania wengi pia sasa wanatumia njia za...
Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
Hivi karibuni kumetokea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ugonjwa wa corona na Teknolojia ya 5G.Miongoni mwa hoja zinazotolewa ni kama zifuatazo:-
1. Kuwa karibu na 5G kuna sababisha corona, ndio maana nchi zilizo athirika zaidi ni zile zilizoanza...
Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana.
Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia.
Kuna mifano mingi sana...
Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo:
Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana...
Kwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake namba za simu za mkononi na barua pepe (e-mail) zikawa ndio identity kuu ya namba za mawasiliano...
Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google.
Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology...
Habari!
Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo.
Katika historia kuna watu wengi maarufu kutokana na vipaji pamoja na maarifa waliyokuwa nayo hapo zamani yaliyokuwa...
Habari!
Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia.
Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.