tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

    Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo yaliyowasumbua na wakafanikiwa. Hivyo nachukua fursa hii kumkaribisha yeyote mwenye kujua Tiba Asili...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuzaa mtoto mwenye mapungufu fulani ni tatizo la kibailojia or mapenzi ya Mungu?

    Natumai hamjambo wakuu, Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or mipango ya mungu?
  3. JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  4. JamiiForums Tanzania Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

    Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza Kwenda nakutana na mambo yako hivi๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ Dada anapambana kweli kweli doh ๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿƒ๐Ÿƒ Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo kumbe ni polisi wala siyo ubaguzi

    Hapa naona dereva mweusi na askari polisi weusi wanaonyeshana kazi
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda bado Covid19 ni tatizo, lockdown ipo palepale

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Museveni amesema kuwa si rahisi kwa maeneo hayo kufuata masharti ya kutochangamana...
  7. JamiiForums Tanzania HP Probook: Bios inaload taratibu dakika 5, ila windows haina tatizo

    Hili tatizo linaniumiza sana kichwa Navyowasha PC ile system ya hp ambayo inaload kabla ya windows kuload IPO taratibu sana, nliupdate BIOS ila wapi na hio bios ile update kwa masaa mawili Napowasha PC inakua haionyeshi kitu kwa dakika hivi alafu bios inayokea chats ya HP inakuwa ivoivo kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi na maziwa hataki kunyonya na nipo mbali na hospitali tatizo linaweza kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto

    Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya. Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni USB Cable au ni Simu?

    Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana. Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana mpaka Sasa nimeshajaribu zaidi ya USB Cable tano Lakini sijafanikiwa.
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

    Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
  11. JamiiForums Tanzania Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

    Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much. Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni. Sasa hivi Kigogo kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la ukavu wa uke... Haya nyie Wadada mnaosema naumia wakati wa tendo njoo hapa

    Bpharm: Chriss Johny Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti. Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba ya ute maji. Dalili kuu ni kama vile kukosa hamu ya kuendelea KUSHIRIKI tendo, maumivu makali...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wengi sana hili

  14. JamiiForums Tanzania Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day๐Ÿ˜๐Ÿ˜. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  15. JamiiForums Tanzania Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kirahisi ukubwa wa tatizo la corona jiulize kwenye ukoo wako wamekufa wangapi kwa Corona?

    Kujua kirahisi kama tatizo la corona in kubwa sana Tanzania au la jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo letu lilianzia hapa

    Baba wa taifa hayati mwalimu JK -Nyerere aliwahi kusema tuko vitani bahati mbaya tumechagua silaha ambayo hatuna wengi wetu. Silaha yenyewe tumechagua ambayo wengi hawana SILAHA hiyo ni FEDHA. Kuna siku moja niliweka hapa post inayoonesha posho na allowance ya Mbunge mmoja Dodoma per day ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tatizo la sukari limekwisha tumepokea tani 20,000 kutoka Uganda wafanyabiashara wazingatie bei elekezi

    Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema tatizo la sukari sasa limekwisha baada ya shehena ya tani 20,000 kupokelewa jijini Mwanza kutokea Uganda. Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. Source: Star...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona

    Imeonekana kwamba lockdown ya Corona inasababisha athari kubwa sana za kiuchumi duniani. Watu wanapoteza kazi, kampuni zinakufa, serikali zinakosa mapato nk. Ni dhahiri sasa kwamba lockdown zinatikisa hata mataifa makubwa kama Marekani kiuchumi - na ndio maana hata Tanzania imeepuka sana kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ