Hii ndio design pekee ambayo ingemaliza tatizo la foleni Mbezi Mwisho

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.

Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.

bypass-1280x720.jpg
 
Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.

Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.View attachment 1477335
Mkuu mbona hii IPO very complicated sana? Kwa mtanzamo wangu design ya mbezi ingeweza kuwa Bora,moja kwa kutokuchaza kifusi namna Ile ule upande wa kwenda kinyerezi ili kuifanya ile round about iwe bondeni kwa ajiri ya kuruhusu daraja kujengwa Moro road ili kufanya magari ya Moro road kupita juu ya daraja na yale ya kutoka goba to kinyerezi na kinyerezi to goba plus yake ya kutoka mjini kwenda goba kupita chini ya daraja( simple daraja Kama lile lililojengwa kwenye ule mto kabla ya parking ya malori)
 
Hiyo ya kupandisha juu njia nane ni gharama zaidi kuliko hio hapa.
Mkuu mbona hii IPO very complicated sana? Kwa mtanzamo wangu design ya mbezi ingeweza kuwa Bora,moja kwa kutokuchaza kifusi namna Ile ule upande wa kwenda kinyerezi ili kuifanya ile round about iwe bondeni kwa ajiri ya kuruhusu daraja kujenga Moro road ili kufanya magari ya Moro road kupita juu ya daraja na yale ya kutoka goba to kinyerezi na kinyerezi goba plus yake ya kutoka mjini kwenda goba kupita chini ya daraja
 
Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.

Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.

View attachment 1477335
Unaweza kutupatia wasifu wako kwenye Civil Engineering Design au kwenye mchepuko wa Highways design?
 
Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.

Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design mliyomipitisha, mngetujengea kituo cha mwaka.

View attachment 1477335
Proper planning is not our strongest suit. In 10 yrs or so the project will be obsolete.
 
Wapate wapi akili hizi ccm. Si unaona tu Ubungo palivyo hovyo utadhani chattle.
 
Sio vizuri hivyo, kwanini msikae na watalaam wenu, mkawapa nafasi waje na vitu konki.. mbona mchina anafanya vizuri makini sana why? Angalia solution aliyo toa mchina kwenye maingilio ya daraja la kigamboni.

Kitu simple lakini kimetatua kero once for all.
Usijali pesa tunazo za kutosha kurekebisha miundo mbinu.wewe chapakazi kwa bidii
 
Kabisa..

Mbezi itakuja kusumbua sana.

1. Kituo cha mabasi mkoani
2. Tafiki kubwa toka pande 4
3. Masoko na biashara
4. Vituo vya daladala

Mbezi mwisho kama hawatafuta solution ya kudumu muda huu itakuja kuwa expensive saba baadae kurekebisha.
Proper planning is not our strongest suit. In 10 yrs or so the project will be obsolete.
 
Mbunge wako mnyika yuko wapi?
Kabisa..

Mbezi itakuja kusumbua sana.

1. Kituo cha mabasi mkoani
2. Tafiki kubwa toka pande 4
3. Masoko na biashara
4. Vituo vya daladala

Mbezi mwisho kama hawatafuta solution ya kudumu muda huu itakuja kuwa expensive saba baadae kurekebisha.
 
Unaona majungu au vipi? Ndio tatizo lenu.. cv ndefu hakuna mna fanya.. leteni solution zenye mashiko.. achana na hayo macv yenu marefu.
Kwa hiyo unaongelea majungu zaidi? Au hadithi za Abunuwasi na Bulicheka?
 
Back
Top Bottom