Video za YouTube zinastream kama kawaida kwenye TV tatizo Intenet Browser

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
255
178
Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni.

Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida.

Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay isipokuwa za you tube tu. Inasema load error try again sijui kuna tatizo gani naomba wajuvi mnisaidie tafadhali na pia kwenye hiyo hiyo browser kuna icon yenye kufuli sielewi kama ni kawaida au nifanye nini na je naweza kubadili bowser ya TV kutoka opera na kuwa labda chrome?

Nisaidieni tafadhali.
 
Tatizo limeanza lini maana Siku kama mbili hivi INTERNET imekuwa INA shida kidogo.
 
Internet iko sawa tatizo lina mwezi kama unafahamu pengine kwenye setting tafadhali saidia upande wa you tube uko okay tatizo kwenye internet browser kuna alama ya kama mshangao! kwenye kufuli
 
Tatizo limeanza lini maana Siku kama mbili hivi INTERNET imekuwa INA shida kidogo.
Loo umenifungua mkuu kumbe net ni shida kwa siku mbili tatu hizi, natumiaga halotel inasoma 4g bt ukifungua YouTube au chochote inaload karibu dk 3 nzima na inascrach
 
Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni.

Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida.

Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay isipokuwa za you tube tu. Inasema load error try again sijui kuna tatizo gani naomba wajuvi mnisaidie tafadhali na pia kwenye hiyo hiyo browser kuna icon yenye kufuli sielewi kama ni kawaida au nifanye nini na je naweza kubadili bowser ya TV kutoka opera na kuwa labda chrome?

Nisaidieni tafadhali.
Hauja update? Opera walikuwa na os yao ya tv hivyo ni kitu cha kawaida kukuforce utumie browser yao,

Ila siku hizi wameshakimbia huko wapo chromium.
 
Nikijaribu ku update Tv inaniambia hakuna updates mpya na Tv in opera kama default je naweza kubadili browser ya Tv? kama ndivyo how?
 
Back
Top Bottom