Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.

Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
 
Ukimwambia mtanzania kuwa kwa sasa Corona imeshamiri na inaua sana ndugu zetu bila kuwepo kwa taarifa kutoka kwenye mamlaka wanakwambia umetumwa na mabeberu.

Ugonjwa wa Corona kwa kipindi cha mwezi June umeongezeka sana nchini na unaleta maafa makubwa. Kwa makusudi wizara ya afya imeamua kufumba macho. Prof. Mabula Mchembe ni muongo aliyeletwa ndani ya wizara kwa kazi ya kuficha ukweli.
 
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.

Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
Jina plz,asije akawa yule profesa aliekuwa anatusaidia vifaa vya corona

California love
 
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.

Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
Corona ipo. Yule jamaa yenu ana matatizo binafsi ndio maana havai barakoa
 
Wewe mwenye kimbelembele siku ukifariki watakaoujua msiba wako ni watu kumi na watano tu hapo mtaani kwako na vikuku vinavyookoteza mabaki ya maandazi na mihogo mliyonywea chai.
ni wewe wasema, kikubwa kuzikwa hayo mengine ni ya ziada
 
Back
Top Bottom