Mayova
Senior Member
- May 10, 2018
- 182
- 123
Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani.
Nimetumia dawa kadhaa kama vile mucolyn, citrizine na ephedrine nasal drops lakini bado hata hija saidia kitu. Naombeni ambae atakua anajua tatizo nn anisaidie
Nimetumia dawa kadhaa kama vile mucolyn, citrizine na ephedrine nasal drops lakini bado hata hija saidia kitu. Naombeni ambae atakua anajua tatizo nn anisaidie