Tatizo la kutokwa na mistari tumboni linasababishwa na nini?

Mwampopo

New Member
Mar 22, 2019
2
0
Hili tatizo lilianza mwaka uliopita. Nikaenda hospital waliniambia nipunguze uzito.

Nimepunguza but bado hii mistari haitoki.

Niini linaweza kuwa sababu ya hili tatizo na solution yake.


20210301_095339.jpg
 
Kitambi hicho.
Binafsi Mimi ninavyo hyo michirizi na ni mwanaume.
Naipenda Sana maana hata mama yangu alikuwa nayo.
 
Punguza wanga Mana, huo ni uzito uliopitiliza, narudia punguza matumizi ya vyakula venye wanga pia fanya mazoezi. Baada ya muda utakuwa sawa. Pole Sana Tinganya
 
Hiyo ni ^Plimsoll Line^ kama ile ya ubavuni mwa meli ama chombo cho2te cha majini kuonesha umeovalimiti ulaji wako. Balloon eikeiei puto ukizidi kujaza hewa, kabla halijabasti huwa linaweka mistari kama hiyo. So, be EXPONENTIALLY careful!???
 
Back
Top Bottom