Kwa wale wapenzi wa mahesabu, kuna tatizo gani hapa?

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,248
2,000
Inapaswa uainishe hilo unaloliona ni kosa, juu ya yote nimefuatilia na sijaona kosa lolote.
You are very smart, umepata. Hata hivyo kuna step moja tu imerukwa, au imeshughulikiwa pasipo kuwa na ufasaha unaohitajika kimahesabu.

Kwenye step ya pili kutoka mwisho, ameandika integral ambayo inaonyesha kuwa anafanya integration with respect to "u" na wakati huo huo kwenye equation yake akiwa bado anatumia variable ambayo ni "μ" (myu), na siyo "u". Kimahesabu hali hii siyo sahihi sana. Alitakiwa aseme kwanza kuwa "since u=μ, then......"
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,639

Hiyo Inategemea na level ya mtu.

Lakini upo sahihi mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom