Wanawake wananitafuta sana lakini nawakatalia tatizo langu nini?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000
Habari za leo wakuu,
Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba.

Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa na mimi muda mrefu akanisoma. Wengi wao hujikuta wanaanza kunipenda na kuanza kunihitaji niwe nao japo wengine huogopa kuzungumza waziwazi.

Lakini cha ajabu mimi huwa nakua nimeshagundua kilicho wasibu lakini mimi huwa naendelea kukaza kisolidi yaani mpaka najishitukia.

Bila kuficha ni kweli mimi kuna mwanamke mmoja huwa nampenda kinyama basi ndio hisia zangu na mawazo yangu yote yapogi huko kwa huyo mwanamke japo yeye hayupo hapa nilipo kwa sasa. Yupo mbali kidogo, pamoja na kwamba Yupo mbali lakini huwezi amini moyo wangu ulishadondokea kwa huyo mwanamke.

Sasa basi hawa wengine ambao huwa wanajileta wenyewe hadi kwenye box kabisa, hata huwa sijihangaishi nao.

Sasa najiuliza mbona hii tabia sikua nayo mwanzo, yaani nimejikuta akili yangu imebadirika haraka sana. Kwasababu nakumbuka mwakajana nimetenda dhambi sana. Mpaka nilikua najiogopa kwa dhambi nilizokuwa nazitenda. Na wala sikua na mpango na huyo mwanamke.

Basi kwa mabadiriko haya nikaona ngoja nije nipate mawaidha ya wadau hapa, wakuu hapa nini tatizo.
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000
utoto unakusumbua....ukikua utakuja kukumbuka hizo nafasi na ndio hazitojirudia tena
Mpaka najishangaa yaani nimejikuta naanza kumuwaza ghafura mtu aliyembali namimi waliojirani na mimi sina time nao. Jambo ambalo mwanzo sikua nalo kabisa hadi huyo mwanamke alikua akilalamika kwamba simjali wala kumpenda. E bwana wewe sasa naona moyo wangu umenisaliti
 
RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
402
500
Hii situation kama unanizungumzia mimi , mademu hadi wananilazimisha kabisa niwaalike napokaa ila sina habari, wengine hadi wananikiss hadharani jinsi wanavyonipenda ila naogopa kuwaendea kasi maana kuna rafiki yao ndo ninayempenda , nina bahati kila mazingira mapya ntakayokuwepo lazima atokee demu anayenikubali
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,635
2,000
Habari za leo wakuu,
Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba.

Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa na mimi muda mrefu akanisoma. Wengi wao hujikuta wanaanza kunipenda na kuanza kunihitaji niwe nao japo wengine huogopa kuzungumza waziwazi.

Lakini cha ajabu mimi huwa nakua nimeshagundua kilicho wasibu lakini mimi huwa naendelea kukaza kisolidi yaani mpaka najishitukia.

Bila kuficha ni kweli mimi kuna mwanamke mmoja huwa nampenda kinyama basi ndio hisia zangu na mawazo yangu yote yapogi huko kwa huyo mwanamke japo yeye hayupo hapa nilipo kwa sasa. Yupo mbali kidogo, pamoja na kwamba Yupo mbali lakini huwezi amini moyo wangu ulishadondokea kwa huyo mwanamke.

Sasa basi hawa wengine ambao huwa wanajileta wenyewe hadi kwenye box kabisa, hata huwa sijihangaishi nao.

Sasa najiuliza mbona hii tabia sikua nayo mwanzo, yaani nimejikuta akili yangu imebadirika haraka sana. Kwasababu nakumbuka mwakajana nimetenda dhambi sana. Mpaka nilikua najiogopa kwa dhambi nilizokuwa nazitenda. Na wala sikua na mpango na huyo mwanamke.

Basi kwa mabadiriko haya nikaona ngoja nije nipate mawaidha ya wadau hapa, wakuu hapa nini tatizo.
Mchoree ramani ya nyumba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom