Tatizo la mashine za Maxmalipo naomba utatuzi

Freightliner

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
720
522
Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa wa maxmalipo bado wapo?

Namba zao nikipiga hazipokelewi je napataje msaada?
 
Back
Top Bottom