tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani tatizo la Uraibu wa Kamari limeharibu maisha yako upande wa kijamii, kiimani na kiuchumi?

    Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana...
  2. Matope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuzubaa kwenye miradi yao. Je, tatizo ni Wananchi au Wapinzani?

    Raisi anasema wananchi wamelala kwa kutokulalamika wakati miradi imekaa miaka mingi . Je tatizo ni wananchi kutokulalamika au wananchi walikuwa wana puunzwa kwasababu ya wabunge kuwa wapinzani? Mimi siamini kwamba wabunge wa Chadema walikuwa hawapeleki malalamiko serikalini. Imefika mahala...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  5. knaan

    JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi moyo unaenda mbio

    "Nikifanya kazi moyo unaendaaa mbio nikiinamaa sana nikisimama sana pia nikitembeaa sana au nikipata mshtukoo tu basi unaanza kwenda mbio pia nikiwa na mawazo." Ushauri wa kitaalam unahitajika kwa haraka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kutatua tatizo la wafugaji

    Ndugu zetu Wamassai na Wamang'ati wamekuwa na ufugaji kiholela karibu Tanzania nzima. Kwa ufupi hawa wafugaji wanaishi kwa utaratibu wao wenyewe bila kufuata sheria yeyote. Lakini kibaya zaidi wanaharibu mazingira sana na ni lazima kuwekwe utaratibu. Huko Arusha ndiyo kabisa kumekuwa kama jagwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la kushindwa kukojoa kwa wazee

    Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.
  8. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

    Let me cut the bullshit and hit the point. Leo nimepokea simu kutoka nyumbani, Napewa taarifa kuwa mdogo wangu wakiume amepata matatizo anapoteza fahamu. Tatizo limeanza siku chache zilizopita( yani ijumaa ya tarehe 04.02.2022). Kijana aliondoka asubuhi sana kwenda shule, mashuhuda wanasema...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi njia za kudumu za kuondokana na tatizo la mbu?

    Wasalaam, Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape, kuhusu vifurushi vya simu tatizo lipo TCRA

    NDUGU NAPE, KUHUSU VIFURUSHI VYA SIMU Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Ndugu yangu Nape tatizo liko hapo TCRA. Haya makampuni ya simu yanafanya biashara na hivyo yanaweza fanya lolote yasipopata usimamizi. Tunahitaji Kanuni za vifurushi kama vifurushi kutoka hapo TCRA ili zitusaidie...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

    Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Humphrey Polepole ni kuamini alikuwa " the chosen one" na sasa ameathirika kisaikolojia

    'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi...
  14. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo common kwenye engine za BMW

    Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW. Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hii… "Achana na hizo gari zinachemsha sana" Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana...
  15. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  16. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine. Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
  17. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo hili la umeme kukatika litakwisha lini?

    Ndugu zangu Watanzania, bila shaka hamjambo. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nawasalimia! Ndugu zangu nimekuwa nakwazwa sana na hili suala la kukatika kwa umeme kila wakati kama siyo kila siku. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu, na ningeomba mtu mwenye majibu...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wajibikeni kwa jamaa zenu, hakuna tatizo la nguvu za kiume

    Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto, tatizo langu lile la kuishia kamoja hakika mwanamama alilipatia utibabu sahihi kabisa maana...
  19. Malyenge

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

    Baraza la mitihani waangalie imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya Kidato cha Nne? Kuna walakini katika usahihishaji. Serikali ifanye uchunguzi. Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue...
  20. jerryperry2020

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la rejeta kwenye Subaru Impreza

    Wakuu nawasalimu pamoja na mko bize kufuatilia kesi mbali mbali zinazoendelea kwenye mahakama mbali mbali naomba ushauri wenu kwa wazoefu ninatumia subaru impreza kwenye mizunguko yangu ila hivi karibuni imekuwa na tatizo kwenye rejeta maana kila nikienda kwenye mizunguko lazima nikute imekausha...
Back
Top Bottom