Asante sana blaza . Ntafanyia kaziPole ndugu. Sina utaalam sana lakini sometimes kuna watu wakila nyama ilopikwa na mafuta mengi inakua hivo. Na mara nyingi ni mafuta ya kupikia yakizidi hasahasa uswazi ambako kueka mafuta ni fashen.
Jaribu kua unacjoma nyamamyoyote yenye mafuta mengi ili kuyapungiza kabla hujaipika. Na pia kuepuka vyakula vya kuungwa sana