Habarini wana Jamiiforum!
Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!;
Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri!
Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana.
Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa.
NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI.
Baadhi ua ndugu, jamaa...
Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula,
Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard
Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti?
Nani angeamini kama Waitara angesaliti?
Kipindi cha JPM nadhani mliona...
USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja.
Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee...
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks
Unakuta msichana/mwanamke...
Amani iwe nanyi!
Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga!
Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
Wasalaam Wanazengo,
Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022.
Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo...
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.
Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️
Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili.
Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?
Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu.
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO
NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023
Utangulizi
Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
Habari zenu Wakenya
Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana.
Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
Wakuu Kwema?
Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death".
Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena.
Kuna mwenye kujua hii...
Great thinkers,
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje)
Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.