Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
TANESCO
Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota
NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE]
AZ engines[1AZ, 2AZ]
na ZZ engines [1ZZ sanasana]
Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo...
Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani.
Hilo ilitimia kwa kiasi fulani...
ili swala sio utani wala uongo.
Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.
Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio...
Wakuu nimepata changamoto ya kila nikiplace order aliexpress naambiwa order imekuwa closed...natatua vipi hiyo changamoto...msaada m mgeni wa manunuzi mtandao hasa aliepress
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030
Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
Habari za wakati huu wana JF!
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi?
Mwenye kufahamu...
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa...
Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo.
Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
Habari za weekend.....
Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli.
Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye
Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua Kama dakika 10-15 yaani mda huo inakua inaonyesha neno Infinix baada ya muda ndo inawaka
Nawezaje...
Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
"Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
“I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much Hunting”.
Bado hajaweza sababu hasa za kuamua kufanya hiyo, maamuzi ambayo yanakuja wiki chache tangu...
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke.
Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana vijana wadogo wakiume sasa ni mashoga, kuna mmoja wao wakati anahojiwa akadai amezaliwa akiwa na homoni...
Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake.
Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo.
Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.