Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,156
Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya.

Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya ngoma ni km havina kazi. Rais anamkimbiza mgeni wakati unaona kabisa mgeni angependa aangalie zile ngoma akipitia kila kikundi, nilitegemea rais wetu angempa muda wa kutosha na kumwelezea hata maana ya zile nyimbo. Tatizo letu ni nini, ni lugha?

Kama ndio kwanini ikulu isimpatie Rais course maalum na humo humo wamfundishe na communication skills. Hatujui hata hospitality (ukarimu wa kumpokea mgeni), rais hana confidence(hajiamini) kwanini. Rais na amiri jeshi mkuu kwanini usijiamini ndani ya Taifa lako, ongea na mgeni naye ajisikie yuko nyumbani siyo kumburuza na kuonesha uwoga usioeleweka.

Nenda katazame mapokezi ya Kenya, mfalme anapewa muda anaongea na wenyeji anapewa muda wa kutosha, hazongwizongwi na watu wa ulinzi. Jioni walikaa very friendly kwenye dhifa ya kitaifa muda wa kutosha. Leo alienda pwani ya Kenya, Mombasa kwenye beach(ufukwe) unaitwa Nyali, kaangalieni alikaa muda wa kutosha anaongea na watu vijana wa kawaida kabisa wa Kenya taratibu bila hofu, huwaoni hata walinzi wake.

Kuna maonesho madogo yaliwekwa pale, alikuwa anatembelea kila kimoja baada ya nyingine akiongea na wahusika vijana wadogo wamzingira wanamsindikiza bila woga wala hofu. Bila shaka yule mflame alifurahia ile hali na yale mazingira mazuri na mapokezi mazuri ya watu wanaojiamini, wanajieleza, wanaelezea maonesho yao.

Ingekuwa kwetu angezongwa na walinzii na kuburuzwa haraka haraka. Tatizo letu ni nini mpaka tujiamini? Ni lugha? Hata mlioko ikulu hamuwezi kwenda kujiongeza? Hebu saidieni nchi mkiwa kwenye hizo nafasi
 
Siasa za kijamaa zimefubaza uwezo wetu wa kujiamini, na kutokujua lugha ya kiingereza kwa ufasaha kumetufanya waoga wa dhahiri. Watu wamebaki na nidhamu ya uoga na unafiki, viongozi wamejiugeuza miungu watu, muda wote wanajiona watu special. Wakienda popote ulinzi usioendana na uhalisia, wakiwa na mzungu ndio kero kabisa.
 
Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu km ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya ngoma ni km havina kazi. Rais anamkimbiza mgeni wakati unaona kabisa mgeni angependa aangalie zile ngoma akipitia kila kikundi, nilitegemea rais wetu angempa muda wa kutosha na kumwelezea hata maana ya zile nyimbo. Tatizo letu ni nini, ni lugha? Km ndio kwanini ikulu isimpatie Rais course maalum na humo humo wamfundishe na communication skills. Hatujui hata hospitality (ukarimu wa kumpokea mgeni), rais hana confidence(hajiamini) kwanini. Rais na amiri jeshi mkuu kwanini usijiamini ndani ya Taifa lako, ongea na mgeni naye ajisikie yuko nyumbani siyo kumburuza na kuonesha uwoga usioeleweka.

Nenda katazame mapokezi ya Kenya, mfalme anapewa muda anaongea na wenyeji anapewa muda wa kutosha, hazongwizongwi na watu wa ulinzi. Jioni walikaa very friendly kwenye dhifa ya kitaifa muda wa kutosha. Leo alienda pwani ya Kenya, Mombasa kwenye beach(ufukwe) unaitwa Nyali, kaangalieni alikaa muda wa kutosha anaongea na watu vijana wa kawaida kabisa wa Kenya taratibu bila hofu, huwaoni hata walinzi wake. Kuna maonesho madogo yaliwekwa pale, alikuwa anatembelea kila kimoja baada ya nyingine akiongea na wahusika vijana wadogo wamzingira wanamsindikiza bila woga wala hofu. Bila shaka yule mflame alifurahia ile hali na yale mazingira mazuri na mapokezi mazuri ya watu wanaojiamini, wanajieleza, wanaelezea maonesho yao. Ingekuwa kwetu angezongwa na walinzii na kuburuzwa haraka haraka. Tatizo letu ni nini mpaka tujiamini? Ni lugha? Hata mlioko ikulu hamuwezi kwenda kujiongeza? Hebu saidieni nchi mkiwa kwenye hizo nafasi
Wivu tu
 
Nchi yetu maneno matupu hivi mtu huyo akija Tanzania anaweza kufikili kati ya kenya na Tanzania wapi kwenye amani? Wakati mwingine sijui ni ushamba yani ulinzi unakuaga mkubwa wageni wakimataifa wanapokuja hadi inajengeka picha kua Nchi si ya amani.
 
Mjerumani na kiingereza wapi na wapi?
Mbona mnaibua hoja za kijinga
 
Lugha ni kikwazo kikubwa kwa watanzania.
 
Mjerumani na kiingereza wapi na wapi?
Mbona mnaibua hoja za kijinga
Huyo mjerumani wangalau kiingereza kina nafuu kwake kuliko kiswahili. Hata hivyo huu Uzi umechanganya safari ya huyo mjerumani na mwingereza huko Kenya. Hao wakenya wamejiachia kwa huyo muingereza kwa ajili ya lugha, na nchi Yao haina heshima za kinafiki zilizo na athari ya siasa za kijamaa.
 
Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu km ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya ngoma ni km havina kazi. Rais anamkimbiza mgeni wakati unaona kabisa mgeni angependa aangalie zile ngoma akipitia kila kikundi, nilitegemea rais wetu angempa muda wa kutosha na kumwelezea hata maana ya zile nyimbo. Tatizo letu ni nini, ni lugha? Km ndio kwanini ikulu isimpatie Rais course maalum na humo humo wamfundishe na communication skills. Hatujui hata hospitality (ukarimu wa kumpokea mgeni), rais hana confidence(hajiamini) kwanini. Rais na amiri jeshi mkuu kwanini usijiamini ndani ya Taifa lako, ongea na mgeni naye ajisikie yuko nyumbani siyo kumburuza na kuonesha uwoga usioeleweka.

Nenda katazame mapokezi ya Kenya, mfalme anapewa muda anaongea na wenyeji anapewa muda wa kutosha, hazongwizongwi na watu wa ulinzi. Jioni walikaa very friendly kwenye dhifa ya kitaifa muda wa kutosha. Leo alienda pwani ya Kenya, Mombasa kwenye beach(ufukwe) unaitwa Nyali, kaangalieni alikaa muda wa kutosha anaongea na watu vijana wa kawaida kabisa wa Kenya taratibu bila hofu, huwaoni hata walinzi wake. Kuna maonesho madogo yaliwekwa pale, alikuwa anatembelea kila kimoja baada ya nyingine akiongea na wahusika vijana wadogo wamzingira wanamsindikiza bila woga wala hofu. Bila shaka yule mflame alifurahia ile hali na yale mazingira mazuri na mapokezi mazuri ya watu wanaojiamini, wanajieleza, wanaelezea maonesho yao. Ingekuwa kwetu angezongwa na walinzii na kuburuzwa haraka haraka. Tatizo letu ni nini mpaka tujiamini? Ni lugha? Hata mlioko ikulu hamuwezi kwenda kujiongeza? Hebu saidieni nchi mkiwa kwenye hizo nafasi

Kwa hiyo wewe ni mtumwa wa hao viongozi kutoka Ulaya? Pole sana na ujiulize endapo rais wetu angee da Ulaya au Marekani, je, angepokelewa kwa mbwembwe na vikundi vya wacheza ngoma? Nimepebda sana rais alivyompokea huyu bwana! Tena ikiwezekana angemsubiri Ikulu, huko uwanja wa ndege alikuwa anatosha Makonda!
 
Siasa za kijamaa zimefubaza uwezo wetu wa kujiamini, na kutokujua lugha ya kiingereza kwa ufasaha kumetufanya waoga wa dhahiri. Watu wamebaki na nidhamu ya uoga na unafiki, viongozi wamejiugeuza miungu watu, muda wote wanajiona watu special. Wakienda popote ulinzi usioendana na uhalisia, wakiwa na mzungu ndio kero kabisa.

Wewe ndiyo pumba kabisa, hata ulichoobgea humu ni utapiamlo tu!
 
Nchi yetu maneno matupu hivi mtu huyo akija Tanzania anaweza kufikili kati ya kenya na Tanzania wapi kwenye amani? Wakati mwingine sijui ni ushamba yani ulinzi unakuaga mkubwa wageni wakimataifa wanapokuja hadi inajengeka picha kua Nchi si ya amani.

Ni kwa sababu nyie vibaka wakwapuaji huwa hamchezi mbali ndiyo maana ulinzi madhubuti ni muhimu, maana nyie hata pete ya mtu mnaweza kujwapua nyie!
 
Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu km ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya ngoma ni km havina kazi. Rais anamkimbiza mgeni wakati unaona kabisa mgeni angependa aangalie zile ngoma akipitia kila kikundi, nilitegemea rais wetu angempa muda wa kutosha na kumwelezea hata maana ya zile nyimbo. Tatizo letu ni nini, ni lugha? Km ndio kwanini ikulu isimpatie Rais course maalum na humo humo wamfundishe na communication skills. Hatujui hata hospitality (ukarimu wa kumpokea mgeni), rais hana confidence(hajiamini) kwanini. Rais na amiri jeshi mkuu kwanini usijiamini ndani ya Taifa lako, ongea na mgeni naye ajisikie yuko nyumbani siyo kumburuza na kuonesha uwoga usioeleweka.

Nenda katazame mapokezi ya Kenya, mfalme anapewa muda anaongea na wenyeji anapewa muda wa kutosha, hazongwizongwi na watu wa ulinzi. Jioni walikaa very friendly kwenye dhifa ya kitaifa muda wa kutosha. Leo alienda pwani ya Kenya, Mombasa kwenye beach(ufukwe) unaitwa Nyali, kaangalieni alikaa muda wa kutosha anaongea na watu vijana wa kawaida kabisa wa Kenya taratibu bila hofu, huwaoni hata walinzi wake. Kuna maonesho madogo yaliwekwa pale, alikuwa anatembelea kila kimoja baada ya nyingine akiongea na wahusika vijana wadogo wamzingira wanamsindikiza bila woga wala hofu. Bila shaka yule mflame alifurahia ile hali na yale mazingira mazuri na mapokezi mazuri ya watu wanaojiamini, wanajieleza, wanaelezea maonesho yao. Ingekuwa kwetu angezongwa na walinzii na kuburuzwa haraka haraka. Tatizo letu ni nini mpaka tujiamini? Ni lugha? Hata mlioko ikulu hamuwezi kwenda kujiongeza? Hebu saidieni nchi mkiwa kwenye hizo nafasi

Diplomasia imeshindikana, si tu kwa mwanadiplomasia namba 1 na namba 2 Hon. January Makamba bali pia vyombo vyetu vya habari vimeshindwa diplomasia ya kuripoti kwa kina ktk lugha zote kuu yaani Kiingereza na Kiswahili ili kupitia ziara hii Tanzania iwe katika front page / kurasa za magazeti duniani kote zikinukuu habari ya ziara hii ilivyoripotiwa na magazeti yetu, vituo vyetu vya televisheni, online media zetu za kiTanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=dyo11NhCI9Q
Inasikitisha ziara hii imeripotiwa na vyombo vya South Africa, Kenya, Ghana kwa mitizamo yao kwa kuwa hakuna media yoyote ya Tanzania iliyochambua kwa Kiingereza na Kiswahili fursa, faida, uhusiano wa kipekee baina ya Ujerumani na Tanzania utumike kwa siku za usoni.

01 November 2023

German President asks for forgiveness for colonial crimes in Tanzania | DW News

View: https://m.youtube.com/watch?v=d8onbkmsgkM
German President Steinmeier has expressed his shame at the crimes committed, and pledged to raise awareness of the atrocities. He also said that he would begin the process of returned artefacts looted during the colonial era. It comes at the end of a three-day visit to the East African country, in which both countries aimed to strengthen relations.
Source : DW News
 
Ni kwa sababu nyie vibaka wakwapuaji huwa hamchezi mbali ndiyo maana ulinzi madhubuti ni muhimu, maana nyie hata pete ya mtu mnaweza kujwapua nyie!
Kwahiyo Kenya ndio hakuna vibaka we mtumwa wa viongozi?
 
Alitakiwa kwa Tanzania aje chancellor wa Ujerumani Olaf Scholz na kule Kenya aende PM wa Uingereza Rish Sunak

Hawa waliokuja hawana maajabu
 
Siasa za kijamaa zimefubaza uwezo wetu wa kujiamini, na kutokujua lugha ya kiingereza kwa ufasaha kumetufanya waoga wa dhahiri. Watu wamebaki na nidhamu ya uoga na unafiki, viongozi wamejiugeuza miungu watu, muda wote wanajiona watu special. Wakienda popote ulinzi usioendana na uhalisia, wakiwa na mzungu ndio kero kabisa.
Tatizo lenu bawacha ni akili zenu kisoda
 
Back
Top Bottom