Msaada: Fundi anayeweza kutatua tatizo la USB/Flashdrive kusoma au kuhamisha mafaili kutoka USB ambayo haisomi

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Inshort' Nilinunua flash yangu GB 16 imation nikaweka file zangu important ila finally hii flash Ikawa haisomi Tena Baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa.

Baadae nikanunua nyingne ya GB 8 ila kampuni ni Disk, sasa na yenyewe haisomi tena baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa.

Changamoto hizi zinakuja baada ya kuitumia kwenye Mac Computer, baadaye kwenye Redio saboofa.

Please, kama kuna mtu anaweza kujua fundi au namna ya kutoa material nipe taarifa please, najua Technologia ni pana sana.

Nawasilisha.
 
Ipo program ya kuboot domant drive ila ni kubet sio uhakika 100%
 
Back
Top Bottom