tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki akitekeleza adhabu ya mwalimu

    Mwanza. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwinuko iliyoko Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Glory Faustine (14) amefariki huku mwingine, Emmanuel Lyatuu (13) akivunjika mguu wa kulia baada ya kudondokewa na jiwe wakitekeleza adhabu ya kuchimba kifusi. Akizungumza leo Machi 17, 2023 Kamanda wa...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu. Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
  3. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mpiga Gitaa maarufu, Lokassa ya Mbongo afariki dunia

    Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchimbaji aliyevunjika mguu na mkono akiokolewa shimoni, afariki dunia

    Mchimbaji mdogo mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Eliya anaekadiriwa kuwa na miaka 28-30 amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe wakati akichimba madini katika machimbo yaliyopo eneo la Magema mtaa wa Nyamalembo mjini Geita. Tukio hilo limetokea zikiwa zimepita siku mbili kufuatia...
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

    Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia. Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉 👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu. Miongoni...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tapeli aliyeiibia Urusi afariki akiwa na umri wa miaka 56

    Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za Urusi mabilioni ya dola. Grishin alilazwa hospitalini kufuatia tatizo la ubongo mwezi uliopita, na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA. Mchezaji NBC Afariki Gafla

    Aliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa “Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani “Road Work “😢 na ndio kilichopelekea kifo Chake .” Rest In Peace Champs
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

    Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
  12. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki... Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu huyo. Chanzo: BBC Hivi nyuki wakikuvamia unatakiwa ufanyeje kuepusha madhara? Kifo hiki ni cha...
  13. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Rapper Trugoy wa De La Soul Afariki dunia akiwa na umri wa Miaka 54

    Umuofia Kwenu wana JF, Mwana hiphop David Jude Jolicoeur alias Trugoy ambaye alikuwa member wa kundi la Hip hop De La Soul amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Kundi la De la soul ambalo liliundwa mwaka 1988 lilikuwa linaundwa na members watatu wakiwemo posdnuos na maseo.
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Afariki dunia wakati akiombewa Kanisani

    Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life lililopo Makerere. Kwa mujibu wa Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Kampala, Luke Owoyesigyire amesema...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Albino Fulani afariki dunia nchini Marekani

    Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter wa MwanaFa. Pia soma > Mkasi - SO2E09 With Babu Sikare (Albino Fulani) -- Jina lake ni Babu Sikare...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf afariki akiwa Dubai, mwili wake kurejeshwa nyumbani

    Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa...
  18. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

    Mhitimu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganya aisee
  19. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

    Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita. Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away. Mwili wake ukasafirishwa na ambulance...
Back
Top Bottom