tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analyse

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

    Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena. Natoa...
  2. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mlinzi wa mstari wa Buccaneers, Shaquil Barrett, Binti yake Arrayah Barrett wa miaka 2 azama kwenye bwawa

    Arrayah Barrett, binti mwenye umri wa miaka 2 wa mlinda mstari wa Tampa Bay Buccaneers Shaquil Barrett, alikufa maji Jumapili asubuhi kwenye kidimbwi cha kuogelea cha familia hiyo, kulingana na Polisi wa Tampa. Maafisa waliitikia wito kuhusu mtoto kuanguka kwenye kidimbwi siku ya Jumapili...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bondia Mtanzania afariki baada ya kupigwa

    Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu. Bondia huyo Aprili 24, 2023 alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, kufuatia mfadhaiko alioupata na kuanguka...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

    Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma. Basi...
  6. Sajo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kijana afariki dunia mgodini Mara

    MARA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Masasa Tungulilo, amefariki dunia kwa kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mgodi mdogo wa dhahabu wa Nyarufu uliopo Halmashauri ya Musoma mkoani Mara wakati akijaribu kuingia katika mduara huo. Mashuhuda wa tukio hilo ambao ni wachimbaji wadogo katika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  9. LICHADI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

    MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki. Baadaye polisi walifika na...
  11. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi afariki dunia akifungua zawadi iliyotegwa bomu

    Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza. Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine. Taarifa ya Jeshi la Polisi...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

    Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila. RIP Eng Joe Malongo.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenge Kijijini ina majonzi makubwa, wawili wafa ndani ya saa 24

    Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete. Issue iko hivi, washikaji wote wawili walikuwa wakiumwa, John Simba alikuwa mgonjwa zaidi, na Masu alikuwa akiumwa pia ila...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari aliyejeruhiwa kwenye Maandamano ya Raila Odinga afariki dunia

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu. Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki nyumbani kwa mpenzi wake

    Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti. Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
  16. Half american

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

  17. thesym

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi mwenza wa Intel Gordon Moore Afariki

    Gordon Moore amefariki ijumaa 24.03.2023 akiwa na miaka 94. Moore alianzisha intel mwaka 1968 akiwa na mwenzake Robert Noyce. Kabla Moore aliwahi kufanya KAZI kwenye kampuni ya Shockley semiconductor kampuni ya mvumbuzi wa transistor na baadae wakamsaliti kisha kuanzisha kampuni ya Fairchild...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Abweka kama mbwa kisha afariki dunia

  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay, Kenya: Afariki wakati wakifanya mapenzi kichakani

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 37 anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Milca (48) kufariki dunia wakati wakifanya mapenzi kichakani eneo la Mbita katika Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya. Tukio hilo limetokea jioni ya Jumapili ya Machi 19...
Back
Top Bottom