TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,069
52,713
38F0C58E-3A07-4AD5-9AAE-1FC680494B18.jpeg


Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.

Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉

👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu.

Miongoni mwa kazi zake zilizo vuma ni goat, super star, Mr big flexa, ma gang na nyinginezo.

Mwenyezi MUNGU, aipumzishe roho ya marehemu, mahali pema🙏🙏.

FB_IMG_16785791547238550.jpg


 
Ni wiki kadhaa zipite toka rapa wa South Africa A.K.A afyatuliwe risasi

Msanii mwingine wa miondoko ya amapiano Costa Titch adondoka jukwaani na kufariki hivi punde

Msanii huyo ameimba na

Mbosso Ft. Costa Titch & Alfa Kat – Shetani​

Pia kaimba na diamond wimbo wa

Costa Titch – Superstar Ft Diamond Platnumz X Ma Gang​

Je South Africa nn kimewapata
 
Back
Top Bottom