tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

    Mhitimu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganya aisee
  2. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

    Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita. Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away. Mwili wake ukasafirishwa na ambulance...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  6. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mufindi Kaskazini, Irene Mhapa afariki Dunia

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia. IRENE MHAPA alikuwa mkufunzi wa shughuli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama. Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona. Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
  7. Chipukizi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

    Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  9. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa. Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afariki dunia akidaiwa kuchapwa viboko 280

    Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi. Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
  11. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

    Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa. Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana. Tumeonana December mwishoni tulipoenda...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

    Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi. Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens. Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mchungaji wa Nigeria anayedaiwa kukutwa na Heroin afariki gerezani

    Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

    Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mjukuu wa Bob Marley 'Jo Mersa' afariki dunia akiwa na miaka 31

    Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti. Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

    Elimu: >> source pdf page 90 << Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and Strategies - Chuo cha taifa cha ulinzi - NDC. Kazi Tarehe 20 Januari 2014, Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Basi la Modern Coast latumbukia mtoni, mmoja afariki na wengine kujeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii. Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

    Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani. Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia. Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la...
Back
Top Bottom