Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa

A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini
---
Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA

Aka.jpg


======

Polisi jijini Durban, Afrika Kusini, wamethibitisha kuwa mwanamuziki Kiernan Forbes maarufu kama AKA ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya gari kwenye barabara ya Florida usiku wa Ijumaa, Februari 10, 2023.

Mtu mwingine anayeaminika kuwa mlinzi wa AKA pia alijeruhiwa, huku mwingine ambaye inafahamika kuwa rafiki wa karibu wa AKA, naye ameuawa.

Bado haijafahamika nini chanzo cha mauaji hayo, ila Polisi walifika kwenye eneo la tukio ambapo walifunga barabara na kuanza shughuli za uchunguzi.

AKA ambaye alikuwa na umri wa miaka 35 ni miongoni mwa wanamuziki bora zaidi wa Afrika Kusini na ametayarisha na kuandika nyimbo nyingi zilizofanya vizuri zikiwemo Fela In Versace, Baddest na nyinginezo tangu aingie kwenye tasnia hiyo miaka kumi iliyopita.

AKA pia amewahi kushirikiana na msanii wa Tanzania Diamond Platnumz katika kibao kinachoitwa Make Me Sing, na pia ameshirikishwa kwenye wimbo wa Joh Makini uitwao Don’t Bother.

----------

RAPPER AKA SHOT DEAD IN DRIVE-BY SHOOTING ON DURBAN’S FLORIDA ROAD

aka-rapper.jpg

Kiernan ‘AKA’ Forbes

Durban - Police sources in Durban have confirmed rapper Kiernan ‘AKA’ Forbes was shot dead in a drive-by shooting on Florida Road on Friday night.

Another person believed to be AKA’s bodyguard, was also wounded, while another unidentified person, who is understood to be a close friend of AKA, has been shot dead.

Police in the province were yet to officially comment on the murders, but IOL has independently confirmed from well-placed police sources, who cannot be named as they are not permitted to speak to the media.

It is understood that AKA was standing outside the Wish Restaurant when he was gunned down in a drive-by shooting.

Two unknown cars are believed to have opened fire just before 10pm.

Police had cordoned off the area when an IOL team arrived at the scene on Friday night.

Speaking to IOL, stunned patrons at a nearby restaurant said AKA had been standing outside Wish when he was gunned down.

Garrith Jamieson, a spokesperson for ALS Paramedics said Florida Road has been closed off after the shooting incident Florida Road where two people have been confirmed deceased

Jamieson said amongst the deceased was a “famous rapper”.

The identity of the second person shot dead is unknown at this stage, but he is understood to be a close friend of AKA.

According to social media posts, AKA was due to perform at a Durban night club, YUGO, where he was expected to perform as part of his birthday celebrations.

His close friend Da Les, took to social media to express shock.

Source: IOL
 
Kierna jmJ Fobs maarufu kama AKA ambaye alitamba kwa nyimbo kali huko Afrika kusini ameuwawa muda mfupi kwa kupigwa risasi risasi sita katika barabara ya frorida mjini Durban polisi ya Afrika kusini imetoa taarifa

AKA pia aliwahi kushirikishwa katika wimbo wa Don't busser na mwanamziki mkubwa wa hapa Tanzania joh makini wimbo uliokimbiza sana

Ameacha mtoto mmoja mkubwa

USSR

20230211_013157.jpg
20230211_013204.jpg
 
Pumzika kwa amani

Kwa heshima yake wacha nichukue dakika chache kuweka na kutafsiri mashairi yake kwenye kazi waliyofanya na Joh Makini - Dont Bother


woosaaa!! I tell ’em niggas don′t bother
wosaa!! Nawaambia wafanye yao waache yangu

I be in that east coast getting more zaga
Nimechill pande za east coast napata zaga

I be in the land of my forefathers
Nipo ardhi ya mababu zangu (Afrika kusini)

In the club spending rands on a gold bottle
Club nakata mkwanja kwenye chupa za dhahabu

I’m with Joey on this track
Nipo na Joh Makini kwenye hii track

Tz mega star I be going hard
ni Collabo na staa wa bongo naikazia sirembi

Ain′t it funny how these niggas used to hate?
nawacheka masela walionidisi sitafika mbali.

Now I’m triple 7 got ugali in my plate
Sasa nipo juu, vyakula vigeni ugali kwenye sahani

Bosi si kelelem, Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela
Bosi si kelele Mungu nibariki, Siku hizi kusaka hela

Keep it super mega
Long way if I drop off the top
Nafanya kweli maana nilipo ni mbali nikianguka

J.H.P that’s my strong hold (my strong hold)
J.H.P ndiko iliko ngome yangu (ngome yangu)
 
Dah mwamba alifanya vizuri sana kwenye ile nyimbo aloshirikishwa na Diamond Platnumz aisee ile nyimbo inanikumbusha huo mwaka imetoka nilikula msoto wa maana dar kila kazi ama biashara ninayogusa inaanguka, ni kufeli tuu ila sikujinyonga.
Kwa mapito niliyopita hata nikitoboa sitoshangaa na naamini itakuwa hivyo maana msoto nloula ni kama shule flani hivi ya maisha.
R. I. P mkali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom