tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Claims Analyst, Britam Insurance Tanzania

    Company: Britam Insurance Tanzania Location: Tanzania State: Dar Es Salaam Jobs Job type: Full-Time Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania Job Purpose and Key responsibilities The role holder will be responsible for processing and payment of general insurance claims. The...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa! Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

    IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA "Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi...
  5. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya Marais wastaafu wa Tanzania kwa nchi yetu?

    Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki. Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia uzoefu wa kuongoza nchi kwa miaka kumi kila mmoja. Swali huo uzoefu, maarifa na ujuzi wao umesaidia...
  6. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Kwa mbinu kama hii Malaria na magonjwa yanayosababishwa na Mbu yanaweza kuondoshwa nchini Tanzania ndani ya miaka miwili

    Habari za leo kwanza kabisa nipongeze jitihada za dhati zinazofanyika kuondosha na malaria pamoja na magonjwa yanayotokana na Mbu katika safari zangu hivi karibuni nimesikia habari ambayo imenivutia na inaonyesha pengine tukiwapa nafasi wataalamu wetu binafsi pamoja na taasisi wanaweza...
  7. Kasimba G

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, Hoja kuu ya Mkapa ilikuwa nini?

    Wasalaam, Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu. Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
  8. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Siku mbili tu kuchagua jina la sayari ya Tanzania

    SIku 2 TU zimebaki Je umeshachagua Jina la Sayarinje ya Tanzania (Name of Tanzania Exoplanet) Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayari iliyogunduliwa karibuni kuzunguka nyota. Angalia maelezo yake hapa katika tovuti hii Nenda kwenye tovuti hii kupata fomu ya kupiga kura kuchagua matatu...
  9. pinno

    JamiiForums Tanzania Kazi za Tanzania Airports Authority (TAA) nafaso ya Internal Audit II and Accountant II, alidhapatikana Mtu?

    Wakuu, hawa jamaa walitangaza hizi kazi mwezi wa nne Hivi walishaita watu kwenye usaili, maana nimejaribu kufuatilia sijaona tangazo lolote likiita watu kwa usaili na muda umepita sana au mimi ndo sina taarifa? Asante.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri tubadili jina la nchi na tuitwe Kilimanjaro, badala ya Tanzania

    Nimesafiri na kuishi nchi mbalimbali duniani, ila nchi yetu si maarufu sana, yaani Zanzibar na Mountain Kilimanjaro ndio watu wanavijua, Tanzania hawaijui. Nahisi makosa yalifanyika katika kulichagua jina la nchi enzi hizo, japo nasikia toka awali huko ilishapendekezwa nchi iitwe Kilimanjaro...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viwango vya wanahabari wetu Tanzania viko chini sana

    Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu...
  12. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

    Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji kazi wake uliomkosha Mzee Mkapa, Kuchukiwa na mawaziri na viongozi wengine wakubwa mpaka kunyweshwa...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Founded in 1962, Tanzania Red Cross Society has extended humanitarian services in helping those in need both Tanzanians and refugees from neighbouring countries. Over 50 years of its existence, the National Society is on “A Paradigm Shift”, looking from different perspectives to develop...
  14. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

    Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani. Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko. Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
  15. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  16. mayowela

    JamiiForums Tanzania Channel 10 za You tube Tanzania za kuziangalia muda wote

    Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili ukaangalie yeye anachojali apate views tu na sio maudhui. Wazee wa Usisahau kulike, kucomment na...
  17. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

    Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
  19. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuna shida kubwa!

  20. Mag3

    JamiiForums Tanzania Duh, kumbe uchaguzi ulio huru na wa haki ni hisani ya Dr. John Pombe Magufuli na si matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla... "We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
Back
Top Bottom