Siku mbili tu kuchagua jina la sayari ya Tanzania

njiwaji

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
279
202
SIku 2 TU zimebaki

Je umeshachagua Jina la Sayarinje ya Tanzania (Name of Tanzania Exoplanet)

Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayari iliyogunduliwa karibuni kuzunguka nyota. Angalia maelezo yake hapa katika tovuti hii

Nenda kwenye tovuti hii kupata fomu ya kupiga kura kuchagua matatu kati ya kumi zilizopendekezwa na wanafunzi na wanakundi.

Kupiga kura, nenda kwenye hii tovuti: PIGIA KURA MAJINA YA SAYARI-NJE NA NYOTA ZA TANZANIA (Vote for Tanzania ExoWorld Names) - Mwisho wa Kupiga Kura 14/11/19 - Mwisho wa Kupiga Kura kesho usiku 14/11/19

MWISHO WA KUPIGA KURA NI kesho usiku Tarehe 14Novemba 2019


Kwa msaada zaidi tuma ujumbe mfupi (SMS) au ujumbe kwa WhatsApp kwenda namba 0778 517 009 au kwa baruapepe: Assat.Astronomy@gmail.com

Tanzania Exoplanet KUPIGA KURA KUCHAGUA SAYARI-NJE YA TANZANIA=.png
 
Back
Top Bottom