tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Officer at Aga Khan Health Services Tanzania (AKHST)

    Aga Khan Health Services Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network (AKDN) is a non-profit international organization that supports social development programs in Tanzania completed a major expansion to position the institution to become a leading and integrated tertiary...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama pekee Tanzania chenye kutoa fursa sawa kwa wote kuchaguliwa nafasi za uongozi, vyama vingine ni ubabaishaji tu unafanyika

    Wakati CHADEMA ikiwa inajiandaa kufanya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama chao, wametoa orodha ya wagombea uenyekiti kanda mbalimbali za kichama. Orodha hiyo imenishangaza katika mambo mawili: la kwanza, orodha ya wagombea wote wa kanda zote 10 ni waheshimiwa kwa maana ya kwamba wana nafasi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Dkt Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu bodi za wakurugenzi

    Mheshimiwa Rais kwanza nikupongeze sana kwa jitihada ulizozichukua kuhakikisha mashirika ya umma yanalipa gawio kwa serikali. Tumeona mwaka 2014/15 ni kiasi kidogo tu kilichokuwa kikitolewa kwa serikali na mashirika mengi yalikuwa hayafanyi vizuri,lakini sasa tunaona tunapata hadi Tshs Trilioni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi katufundisha jambo juu ya utanzania na umuhimu wa kuilinda Tanzania ili tuendelee kuitwa watanzania. Ni mzalendo wa kweli

    Kila mara Prof. Kabudi anapoongea uwa nakuwa makini kutega sikio kuchota busara na hekima, hakika kwangu ni moja ya watu ambao sichoki kuwasikiliza. Kwa wengine inawezekana anaongea vitu vikubwa kuliko uelewa wao na wanashindwa kumuelewa lakini tunaomuelewa Prof. Kabudi hatuna mashaka na uchungu...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

    Vigezo vyangu A. Mashairi B. Ujumbe C. Heshima ndani ya Mashairi D. kucheza na jukwaa E. Muda wa Mziki wake kudumu Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa wasikilizaji, kukubalika, muda wake kudumu, Rate ya vyombo vya habari kumkuza mtu nje ya uhalisia. 1. Dr...
  6. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa uenyekiti Chadema ni tofauti na ukomo wa Urais Tanzania

    Kuna vijana wanajadili kuhusu ukomo wa uwenyekiti wa Mh. Mbowe ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) halafu wanahusisha na ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wanadai kwamba kitendo cha baadhi ya vijana wa Chadema kutaka Mbowe aendelee basi kinawapunguzia nguvu ya...
  7. Cyangungu

    JamiiForums Tanzania Unadhani kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania?

    CCM na Magufuli hatimaye wameshinda! Kama kuna kosa kubwa wapinzani walifanya ni kususia Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Serikali za mitaa unaofanyika hii leo wakidhani wanaikomoa CCM na Serikali pasina kufahamu kwa kufanya hivyo wanawasaidia Watanzania kutokuwa na morali tena wa kushiriki siasa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Kwenye viunga vya wasomi na wanasiasa, wachambuzi na wanaharakati hili jambo linaendelea kujadiliwa sana. Katika dhamira ya kuleta mabadiliko Rais Magufuli anaonekana kuwa na dhamira lakini amekosa wapi na lipi ashike. Amekosa mipango ambayo ingeihakikishia Tanzania mabadiliko aliyokusudia...
  9. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  10. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Wakati muafaka Oryx Gas kupunguza bei za gesi zao, Mh. Waziri tetea Wananchi kwa maendeleo ya Tanzania

    Kuna siku niliweka mshangao wangu hapa bei ya mafuta ya Uganda ni ndogo kuliko Diesel ama petrol inayouzwa Tanzania. Nikawaza haya Malori yanayosomba mafuta wanasema wanapeleka Uganda wanabeba mafuta ama ulezi. Leo naomba nieleze bei za gesi hapa nchini Kumekuwa na mtafaruku sana hapa kati...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ndege nyingine ya Tanzania yazuiliwa Canada.

    Waziri wa mambo ya nje ameonesha kusikitishwa na zaidi ya hapo kukasirishwa na kitendo kinachofanywa na Canada kila ndege ya Tanzania inapotaka kutoka hapo. Kwa maneno yake...."siyo Canada peke yao ndiyo wanaotengeneza ndege". Natamani tufukue hili kaburi tujaribu kuona kulikoni Canada?
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

    Kwanza naomba niombe radhi kwa balozi wa Canada nchini Tanzania kama kweli ulimuita na kumzungumzia yale uliyozungumza leo. Pili siamini kama hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Marekani na Canada kwani Canada yupo jumuiya ya madola wakati Marekani haipo. Sasa basi, tuje kwenye hoja ya...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatangaza Hifadhi za Taifa mpya tatu na kufanya Hifadhi Taifa kufikia 22

    Sehemu ya Pori la Akiba la Selous lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 30,893 limegeuzwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kama alivyoagiza Rais Magufuli Hifadhi hiyo inaanza rasmi Novemba 19 baada ya Rais Magufuli kuweka saini kwenye Tangazo la kuanzisha Hifadhi hiyo na na Bunge kupitisha azimio...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni details za hii PhD aliyopewa huyu na kama hii sio PhD ya aina yake hapa Tanzania?

    Jana wakati Prof.Makulilo anawahudhurisha wahitimu kuna dada amekabidhiwa PhD ya matumizi ya Vipodozi kama sikosei ,"The case of Bongo Movies" Nilisikiliza topics za PhD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PhD pale UDOM.
  15. CarHunt Japan

    JamiiForums Tanzania Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

    Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
  16. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Suala la annual icrement Tanzania

    hivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla? Nielimisheni
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuondolewa orodha ya nchi maskini

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Biashara (UNCTAD), limezindua ripoti ya mwaka 2019 kuhusu nchi maskini zaidi duniani. Shirika hilo limebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika hali chanya kwa kufanya vizuri, kuweza kuondoka katika orodha ya nchi...
  18. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini watumishi wa umma wa Tanzania hawagomi?

    Kwenu wakuu, Watumishi wa umma wa Tanzania wamepitia vipindi vigumu sana hasa tangu JPM aingie madarakani. Hakuonesha kuwathamini wala kuwajali kabisa, aliwabeza na kuwatukana. 1. Hajapandisha vyeo wala madaraja na mishahara pia ambayo ni haki yao kisheria. 2. Amepitisha sheria ya kikokotoo...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Extramural Advisor Job Opportunity at RTI Tanzania

    RTI International is one of the world’s leading research institutes. We work with governments, businesses, foundations, universities, and other clients and partners to improve the human condition by turning knowledge into practice. Our staff of more than 5,000 tackles hundreds of projects to...
  20. J

    JamiiForums Tanzania BBC waipongeza JamiiForums, wadai ndio tegemeo pekee la habari za uhakika nchini Tanzania, wampongeza Melo na watendaji wake

    BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani. Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Back
Top Bottom