tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  2. mayowela

    JamiiForums Tanzania Channel 10 za You tube Tanzania za kuziangalia muda wote

    Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili ukaangalie yeye anachojali apate views tu na sio maudhui. Wazee wa Usisahau kulike, kucomment na...
  3. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

    Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
  5. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuna shida kubwa!

  6. Mag3

    JamiiForums Tanzania Duh, kumbe uchaguzi ulio huru na wa haki ni hisani ya Dr. John Pombe Magufuli na si matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla... "We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini Tanzania itapoteza sifa za kukopesheka?

    Nasikia kuna lawama juu ya kuongezeka kwa kasi kwa deni la taifa, naomba kuuliza, mwisho wa kuhimilika kwa deni la Tanzania ni trilioni ngapi? Kama ni trilioni 50, au 60, au 70 au pengine hata trillion 100, basi tukope haraka haraka kwa kasi zaidi hadi pale deni litakapokuwa halihimiliki ili...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

    Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ateua balozi wa Tanzania baada ya miaka mitatu

    Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania. Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo. Source: Mwananchi My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

    Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida. 2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na mwendendo wa demokrasia Tanzania

    Tanzania ni nchi kati ya nchi za Africa ambayo inauwezo wa kwenda mbali sana kiuongozi kwenye kila eneo. Tuna rasilimali karibu zote na kwasasa tunaanza kuona jidihata za uwekezaji na uzuiaji wa rushwa. Kitu kimoja ambacho kinaturudisha nyuma na tumerudi nyuma sana ni demokrasia. Nchi yetu...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wachache sana wana amani ya moyo Tanzania

    Ni wachache sana ambao wanapokea simu yeyote ngeni bila kuogopa Ni wachache sana wanaopewa appointment wakaenda bila hofu Ni wachache Sana wasiokuwa na wasiwasi endapo jamaa zao wakichelewa kurudi kazini Ni wachache Sana ambao wanaandika ndani ya Mitandao bila kuogopa Ni wachachache sana...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

    Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
  15. Carina

    JamiiForums Tanzania BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

    Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam. Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia. Asante nawasilisha
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2021

    Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021. Wachezaji walioitwa ni; :
  17. The Genius

    JamiiForums Tanzania Moja kati ya matukio hodari kabisa ya jeshi la Tanzania

    Ilikuwa siku ya Jumapili ya tar. 8 Machi, mwaka 1987, saa nane za usiku, katika viunga vya jiji la Dar es Salaam, kambi ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini chini ya Chama cha ANC iliyokuwa Dakawa Morogoro, ilikuwa tayari imepika wapiganaji wa kutosha walioitwa Umkhonto-Wesizwe, ambapo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Habari za mchana ndugu zangu, Jana kumekuwa na shida kuanzia saa nane mchana saa za Dubai/UAE kuhusu kutuma pesa Tanzania kwa njia zote: Western Union, Mpesa, Instant Cash, na bank transfers. Mashirika haya yanadai kumekuwa na memo toka Central Bank ya Tanzania kuhusu utumwaji wa pesa Tanzania...
  19. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yalipa matrilioni ya fedha ya madeni kwa miaka minne

    Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka 2016/17 hadi Septemba 2019, Serikali imelipa jumla ya Sh24.499 trilioni kwa ajili ya deni lililoiva la fedha zilizokopwa kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo. Dk Mpango ameyasema hayo leo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
Back
Top Bottom